• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo akutana na wenyeviti wa vitongoji Chalinze kwa maandalizi ya Sensa

Imewekwa: August 16th, 2022

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mheshimiwa Zainabu Abdallah amekutana na wenyeviti wa vitongoji 469 katika halmashauri ya Chalinze na kuwahamasisha wenyeviti hao kushiriki katika zoezi la sensa ya watu na makazi wao pamoja na wananchi wanaowaongoza katika maeneo yao,wito huo umetolewa na  Mkuu wa wilaya alipokutana na wenyeviti hao katika ukumbi wa mikutano katika shule ya sekondari ya Lugoba katika halmashauri ya Chalinze.

Mheshimiwa Zainabu aliwahamasisha wenyeviti wa vitongoji kwa kuwaeleza umuhimu wa sensa ya watu na makazi kwa taifa na faida zinazoweza kupatikana kutokana na zoezi la sensa ya watu na makazi ikiwa ni pamoja na serikali kuiwezesha kupanga mipango ya maendeleo kutokana na idadi ya wananchi waliopo sanjari na utoaji wa huduma za jamii kama maji,umeme,afya ,elimu na mahitaji mengineyo kulingana na malengo ya serikali.

Mkuu wa wilaya aliendelea kuwaelimiisha wenyeviti wa vitongoji kuhusu aina za madodoso yatakayotumika katika ukusanyaji wa taarifa ni ya aina tatu ambayo ni,dodoso la jamii litakalohusisha shughuli zote za kiuchumi na kijamii  ambazo ni hospitali,shule,majengo ya serikali na binafsi,dodoso la sensa au dodoso kuu ambalo linashughulika na taarifa zote za mtu binafsi na kaya,dodoso la majengo linashughulika na ukusanyaji wa taarifa za nyumba na makazi katika eneo husika, dodoso la makundi maalum ambalo linahusisha kaya zote ambazo hazina sehemu maalum za kuishi( kaya zinazohamahama). Kuu wa wilaya aliwataka wenyeviti wa vitongoji kuwa wazalendo na waelimishaji wakuu wa zoezi la sensa ya watu na makazi na kuwa wahamasishaji wakuu katika vitongoji wanavyoishi na hatimaye kulikamilisha zoezi hili kwa ufanisi mkubwa .” Niwataka viongozi wenzangu tukawe mstari wa mbele katika utekelezaji wa zoezi hili la sensa ya watu na makazi ili mipango ya maendeleo iweze kupangwa kulingana na idadi yetu katika maeneo yetu na hatimaye kero za wananchi ziweze kutatuliwa pasipo mashaka.” Mheshimiwa Zainabu alisema.

Naye Mbunge wa viti maalum mkoa wa Pwani Mheshimiwa Subira Mgalu katika kuhamasisha zoezi la sensa ya watu na makazi aliwapongeza wenyeviti wa vitongoji kwa kuitikia wito na kuweza kufika katika mkutano wa mkuu wa wilaya kutoka sehemu mbalimbali katika halmashauri ya Chalinze na hatimaye kupata elimu ya umuhimu wa sensa ya watu na makazi na kuwataka wawe mstari wa mbele katika kuhakikisha zoezi hili la kitaifa linatekelezwa kwa ufanisi wa hali ya juu.

Wenyeviti wa vitongoji katika halmashauri ya wilaya ya Chalinze wakiwa kwenye kikao cha maandalizi ya Sensa 2022

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.