• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mbwewe Watambulishwa kwa Wananchi

Imewekwa: July 4th, 2023

KIKAO CHA KUTAMBULISHA MRADI WA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI MBWEWE CHAFANYIKA 

Menejimenti ya Halmashauri ya wilaya ya Chalinze leo hii imefanya kikao na Kamati ya Maendeleo ya kata ya Mbwewe kwa ajili ya kutambulisha Mradi wa Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari katika Kata ya Mbwewe. Kikao hicho cha kutambulisha mradi kimefunguliwa na Mheshimiwa Diwani wa kata ya Mbwewe Abass Msonde.


Menejimenti ya Halmashauri ya Chalinze imefanya Kikao hicho baada ya kupokea fedha kutoka Serikali kuu kwa ajili ya Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari ambayo itaanza kujengwa mapema iwezekanavyo. Halmashauri ya wilaya ya Chalinze imepokea jumla ya fedha za kitanzania zaidi ya milioni 528.


Katika Kikao hicho cha kamati ya Maendeleo ya kata,Afisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Chalinze Bi.Salama Ndyetabura alitoa maelezo kuhusu mawanda ya mradi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kwa kuwataka wajumbe kuupokea mradi kwa niaba ya wananchi wa Kata ya Mbwewe.


Aidha katika kikao hicho wataalam mbalimbali kutoka Halmashauri walitoa maelekezo na miongozo mbalimbali ya namna ya utekelezaji wa mradi huo kwa kuzingatia Sheria taratibu na Kanuni za manunuzi, ikiwa Ni pamoja na kuunda Kamati mbalimbali zitakazosimamia utekelezaji wa mradi huo.


Kwa upande Wake Afisa Mipango wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Bwana Peter Paul aliwataka wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya kata na wananchi kwa ujumla kuwa wazi katika utendaji au utekelezaji wa miradi ya Maendeleo hususan Ujenzi wa Shule hii mpya,amewataka wajumbe wa Kamati za Utekelezaji na Mapokezi ya vifaa vya ujenzi kufanya kazi kwa uadilifu na uwazi kwani Shule hii ni ya wananchi hivyo tunatakiwa kuwa wazalendo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.