• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mwenyekiti Halmashauri ya Chalinze aagiza kuanza haraka ukarabati wa madarasa yaliothirika na Mvua

Imewekwa: January 19th, 2022

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe. Haassan Mwinyikondo amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Chalinze kuanza ukarabati wa madarasa mawili katika shule ya msingi Makombe amabayo yameathirika na mvua yenye upepo mkali.

Ametoa maagizo hayo wakati wa ziara shuleni hapo iliyolenga kupokea ripoti na kujionea athari zilizotokea shuleni hapo ambapo alisema

“ Natoa pole kwa wakazi, walimu na wanafunzi kwa athari iliyojitokeza ya uharibifu wa madarasa haya mawaili na pia ninaomba nikuagize Mkurugenzi kupitia mkandarasi wa halmashauri kuanza kwa haraka ukarabati wa madarasa haya yaliyoathirika ili watoto waendelee kupata elimu kwani dahira ya Rais wetu Mhe:Samia Suluhu Hassan ni kuona watoto wanapata elimu kwa urahisi”. Alisema Mhe:Mwinyikondo.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ndg.Ramadhani Possi amaepokea maagizo hayo na kuagiza wataalamu wa ujenzi kuanza kufanya tathmini ya madarasa yaliothirika ili kuanza ukarabati.

“Kwanza nitoe pole kwa waathirika wa madarasa haya na pia nayapokea maelekezo yote yaliyotolewa na Mhe.Mwenyekiti na kuyafanyia kazi na nmuagiza mhandisi kuanza kufanya tathimini ya ukarabati mara moja ili kuanzia kesho tuanze ujenzi haraka ili watotot waendelee kupata elimu.Alisema Ndg.Possi.

Nae Mheshimiwa Diwani wa kata ya Lugoba Mhe.Rehema Mwene ametoa shukrani kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa hatua za haraka zinazofanywa za ukarabati wa madarasa hayo.

“Kwaniaba ya wananchi na wakazi wa kijiji cha Makombe nimshukuru Mhe. Mwenyekiti,Mkurugenzi na timu nzima kutoka Halmashauri kwa kutuunga mkono katika janga hili na maamuzi yaliyochukuliwa ya ukarabati wa madarasa haya ni jambo jema kwani yatasaidia watoto wetu kuendelea kujifunza.

Kwa upande wa Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Makombe Mwl.Norah Mtabwa ametoa  neno la Shukrani kwa Halmashauri ya Chalinze na kutoa ufafanuzi wa jinsi gani wanafunzi ambao madarasa yao yameathiriwa ni namna wanavyoendelea na vipindi ambapo alisema,

“Tumefarijika na ujio wenu na katika shule yetu na hii inaonesha ni namna gani mnatujali na niwashukuru kwa hatua za haraka kama Halmashauri za kukarabati madarasa haya kwa uharaka wake” Alisema Mwl. Norah

Vilevile aliongezea kwa kuto ufafanuzi juu ya wananfunzi ambao madarasa yao yameathirika kwa kusema kuwa wanafunzi hao wanaendelea na vipindi kama kawaida kwa kuwa utaratibu mzuri umepangwa wa kutumia madarasa ambayo wanafunzi wanatoka mapema.

Madarasa hayo mawili katika shule ya Msingi Makombe kata ya Lugoba  yameathiriwa na mvua yenye upepo mkali siku ya jumanne ya tar 18/01/2022.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.