• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mwenyekiti wa Halmashauri afanya kikao kazi na madereva wa Halmashauri

Imewekwa: September 9th, 2022

.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe, Hassan Rajabu Mwinyikondo jana amekutana na kufanya kikao na madereva wote wa Halmashauri ambapo kikao hicho kililenga kuhakikisha ukusanyaji wa mapato unaongezeka kwa kasi na kuziba mianya ya uvujaji wa mapato.

Mheshimiwa Mwenyekiti huyo alisema kuwa kikao hicho kimelenga hasa kuwafanya madereva wote wa Halmashauri kuwa sehemu ya timu ya ukusanyaji wa mapato kwani wao ni moja ya sehemu ya Halmashauri.

“Tumeamua kukutana na madereva na dhamira yetu kubwa ni kuwaelekeza na kuwakumbusha kuwa wao ni sehemu ya kuisaidia Halmashauri juu ya ukusanyaji wa mapato kwani wao ni moja ya watu wanaojua na kukutana na watu wanaokwepesha mapato kwasababu wao ni watumiaji wakubwa wa magari na hivyo basi tumewaambia kuwa ifike mahala tusaidiane kuhakikisha kuwa wale wakwepeshaji katika kila sehemu ya Halmashauri  tunawakamata kwa kupitia watumishi mbalimbali.” Alisema Mhe. Mwinyikondo.

Aidha Mhe. Mwinyikondo aliongeza kwa kusema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imejipanga kutoa motisha kwa madereva ambao watawafichua wale wote wanaokwepa kulipa ushuru.

Naye Afisa utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze ndg. Archanus Kilaja amemshukuru Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kikao hichi cha kukutana na madereva na vile vile alitoa nasaha kwa madereva hao ambao wamepewa majukumu hayo mapya katika kuzuia upotevu wa mapato

“Kwanza nimshukuru Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kikao hiki lakini pia niwakumbushe watumishi wenzangu madereva kuwa kitu Kikubwa ni kuwa mwaminifu na muadilifu na msitahimilivu kwani hivyo vitu ndio changamoto ya watu wengi hivyo  basi tuwe watumishi waaminifu,waadilifu na pia wastahimilivu ili tuweze kufanya majukumu haya ambayo tumeambiwa”.Alisema Ndg. Kilaja.

Ikumbukwe kuwa kikao hicho mahsusi kimehusisha Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze,Afisa Utumishi kwaniaba ya Mkurugenzi Mtendaji ,Mweka hazina pamoja na madereva wote wa Halmashauri ya Chalinze.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.