• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mwinyikondo: Wasimamieni watendaji wa Serikali

Imewekwa: December 2nd, 2022


Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze,Mheshimiwa Hassani Mwinyikondo amewataka wenyeviti wa Vijiji kuwasimamia watendaji wa Serikali katika maeneo yao katika suala zima la utendaji wa majukumu mbalimbali ya Serikali kwa kuzingatia Sheria,Taratibu na Kanuni.


Maelekezo hayo ameyatoa katika kikao kazi kilichojumuisha wenyeviti wa Vijiji,watendaji wa Vijiji ,watendaji wa kata na wakuu wa Divisheni na Vitengo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete na kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili katika utekelezaji wa majukumu katika maeneo yao ya Utawala. Mwenyekiti wa Halmashauri amewataka viongozi na watendaji Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri ambayo ni chanzo cha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kama Afya,Elimu na Maji na kuhakikisha ukwepaji wa kulipa mapato unakomeshwa na mapato yote yaingie katika mfuko wa Halmashauri.


Sanjari na maelekezo hayo Mwinyikondo amewataka watendaji wa Serikali kufanya kazi za kitendaji na Viongozi wa kisiasa wafanye kazi za kisiasa.

“Wenyeviti wa Vijiji acheni kuungana na watendaji kunyanyasa wananchi ni kinyume cha Sheria na Maadili ya uongozi.” Mwinyikondo alisisitiza.


Katika Kikao Kazi hicho baadhi ya wenyeviti wa Vijiji walitoa michango yao ya mawazo kwa kuwataka watendaji na wanasiasa kufanya kazi kwa ushirikiano na Uhusiano mzuri kwa misingi ya kuwatumikia wanachalinze na watanzania kwa ujumla.

Matangazo

  • ELIMU KWA UMMA October 05, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wakuu wa wilaya za Mafia na Kibiti Waapishwa Rasmi

    January 30, 2023
  • Baraza la wafanyakazi lapitisha mapendekezo ya makisio ya Bajeti ya Halmashauri ya Chalinze

    January 28, 2023
  • Milioni 336.7 kufunga taa za barabarani Chalinze

    January 26, 2023
  • Dstv na UN Global Compact wagawa Miche 2000 ya Miti Chalinze

    January 23, 2023
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • Mfumo wa Bajeti
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.