• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Akagua Miradi ya Elimu Chalinze

Imewekwa: July 6th, 2023


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu,Dkt. Charles Msonde amekagua miradi ya Elimu inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani,ukaguzi wa miradi hiyo umefanyika leo.


Naibu Katibu Mkuu amekagua Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Msolwa iliyojengwa kwa fedha kutoka Serikali kuu jumla ya fedha za kitanzania Milioni 470,katika Ukaguzi wake aliipongeza Halmashauri ya Chalinze kwa usimamizi mzuri wa mradi huo kutokana na Ubora wa Majengo yalivyojengwa kwa kiwango cha juu.


Aidha Dkt Msonde alikagua pia Ujenzi wa Shule ya Msingi mpya I

iliyopo katika Kitongoji cha Bwilingu kata ya Bwilingu katika Mamlaka ya Mji mdogo wa Chalinze inayojengwa kupitia Mradi wa BOOST. Katika mradi huo Serikali ilileta jumla ya fedha za kitanzania Milioni 475.3.


Naibu Katibu Mkuu alifurahishwa na utekelezaji wa mradi huo kwani mpaka anakagua Majengo yote yalikauwa katika hatua za umaliziaji,aliipongeza Halmashauri ya Chalinze kwa umakini katika usimamizi wa miradi sanjari na walimu wa Shule ya Msingi Bwilingu “A” kwa umoja na ushirikiano walionao katika kazi.

“Kwa umoja mlionao Ni ishara tosha Mwalimu Mkuu wa Shule hii anatosha Hongera kwake na Hongera Walimu wote endeleeni na umoja huo.” Daktari Msonde alisema.


Kwa upande wake Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora,Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya Uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wanachalinze na watanzania kwa ujumla katika kuondoa changamoto ya msongamano wa watoto katika shule ya Msingi Bwilingu.


Naye Diwani wa Kata ya Bwilingu Mheshimiwa Nassa Karama kwa niaba ya wananchi wa Bwilingu allishukuru Serikali kwa kutatua changamoto iliyokuwa ikiwasumbua kwa muda mrefu ya msongamano wa wanafunzi katika Shule Mama ya Bwilingu na kuwasilisha ombi lake kwa Naibu Katibu Mkuu kwa kuomba Shule nyingine kwa ajili ya kupunguza msongamano wa wanafunzi katika Shule ya Msingi Mdaula.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.