• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

RC Kunenge Afanya ziara Hospitali ya wilaya Msoga

Imewekwa: February 9th, 2023



Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhe Abubakar Kunenge hii leo ameanya ziara maalumu katika hospital ya Msoga kwa lengo la kukagua na kuona maendeleo ya Jengo la dhararu la (EMD) Iliyopo katika hospital ya Msoga .


Akiwa katika hospitali hiyo Mhe Kunenge alipata kuona maendelea ujenzi wa jengo la hilo la dharura ambalo ujenzi huo umekamilia kwa asimilia kubwa na kilichobaki ni umalizaji wa uwekezaji wa samani,Ujenzi wa majengo mbalimbali katika hospitali hiyo Pamoja na eneo linalotarajiwa kujengwa uwanja wa kisasa wa Mpira wa miguu.


Katika ziara hiyo Mhe Kunenge alipata wasaa wa kusalimiana na kuzungumza na wananchi waliofika katika hospitali ya Msoga kupata huduma ambapo alisema alitembelea hospitali hiyo kuona maendeleo ya ujenzi lakini pia kuona namna huduma  zinazotolewa hospitalini hapo.


''Nimekuja kuona Maendeleo ya ujenzi wa jengo ya huduma za dharura lakini pia kuona jinsi utoaji wa huduma unavyoendelea na naamini ninyi ndiyo mtawaambia huduma ina ubora ama sivyo”.Amesema Mhe.Kunenge


Aliendelea kwa kusema kuwa,kukamilika kwa jengo la huduma za dharura Kutasaidia hduma mbalimbali ambazo zinapatikana hospitali ya Muhimbili ziweze kupatikana katika hospitali hiyo.


Aidha Mhe Kunenge amewaambia wananchi hao kuendelea Kumuombea kwa Mungu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassani ili awe na afya njema ili kuweza kuwatumikia wananchi wa Tanzania katika kuwaletea miradi mbalimbali Lakini pia kuendelea kuwajengea zahanati katika maeneo mbalimbali ili kuwapunguzia umbali.


Mzee Juma Omary alizungumza kwa niaba ya wananchi waliokuwa katika hospitali hiyo alitoa pongezi kwa Raisi wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kutekeleza upatikanaji wa huduma za afya katika maeneo yao.


“Tunamshukuru Mhe Samia Suluhu Hassan pamoja na chama cha mapinduzi kwa jitihada madhubuti zinazosababisha sisi wananchi wa chini kupata huduma za afya kwa wakati zenye uhakika lakini pia zimesababisha wananchi tumeweza kupata huduma katika maeneo yetu ya karibu."Amesema Mzee.Ally.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Chalinze yapongezwa kwa Hati Safi Mfululizo miaka mitano

    June 18, 2025
  • Mwenyekiti wa UWT akagua miradi ya maendeleo Chalinze

    June 13, 2025
  • Madiwani wa Pangani waipongeza Chalinze kwa Miradi ya mapato ya ndani

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.