• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

RC Kunenge awataka Madiwani Chalinze kujifunza siku zote

Imewekwa: April 16th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Abubakari Kunenge amewataka Madiwani wa Chalinze wawe watu wa kujifunza na kusikiliza kutoka kwa watu mbalimbali ili kuwa na weledi wa kutosha kuweza kuwatumikia wananchi na kutatua kero za wananchi.


Rai hiyo ameitoa Kunenge alipokuwa akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Madiwani katika utendaji kazi wao kama wawakilishi wa wananchi katika mamlaka za serikali za mitaa, katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze.


Mkuu wa Mkoa Katika mafunzo hayo amewataka madiwani kwa kushirikiana na watendaji kuibua vyanzo vipya vya mapato na siyo kubaki na vyanzo vya zamani, “hivyo kama madiwani mnatakiwa kuwa na ufahamu wa sheria ili kufanya maamuzi sahihi katika vikao na kuwa wabunifu katika kuiendeleza halmashauri.” Mkuu wa Mkoa  alisema.


Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze wamepata mafunzo ya kujengewa uwezo katika Ufuatiliaji na Upimaji Shughuli za Halmashauri.


Mafunzo hayo yalilenga kuwajengea uwezo katika uendeshaji wa masuala mbalimbali ya Halmashauri ikiwa ni pamoja na usimamizi wa ukusanyaji wa mapato ya ndani na matumizi sahihi ya fedha za serikali katika mamlaka za serikali za mitaa.


Mwezeshaji wa Mafunzo hayo Afisa Serikali za Mitaa kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ,Bwana Rashid Baghdellah akitoa mada mbalimbali katika mafunzo hayo aliwataka madiwani kujua wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi katika mamlaka za serikali za mitaa na kuisimamia halmashauri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kama ufuatiliaji na upimaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika ngazi ya Halmashauri,Usimamizi wa Ujasiriamali na Fursa katika Mazingira wanakoishi waheshimiwa Madiwani.


Mwenyekiti wa Halmashauri ambaye pia ni Mwenyekiti wa mafunzo hayo, Mheshimiwa Hassan Mwinyikondo, ameishukuru Halmashauri yake kupitia Mkurugenzi Mtendaji kwa kuandaa mafunzo ya kuwawezesha madiwani katika utendaji wa shughuli zao kama wawakilishi wa wananchi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.”Hakika kupitia mafunzo haya kama madiwani tumejengewa uwezo na hakika tumebadilika na tutaisimamia halmashauri kwa kuzingatia sheria,taratibu na kanuni ili kuwaletea wananchi maendeleo.” Mwinyikondo alisema.

Madiwani wakiendelea na Mafunzo katika Ukumbi wa Halmashauri 


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.