• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Ridhiwani Kikwete akabidhi misaada kwa watoto wenye mahitaji maalum Chalinze

Imewekwa: January 9th, 2023

RIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI MISAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM  CHALINZE.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete leo amekabidhi misaada mbalimbali ya vifaa vya kujifunzia katika Shule ya Msingi Chalinze kata ya Pera. Vifaa hivyo Amevikabidhi kwa wanafunzi wa Shule hiyo ambayo ina Kitengo cha Elimu maalum ili viweze kuwawezesha kujifunza kwa urahisi.


Vifaa vilivyokabidhiwa kwa wanafunzi hao ni daftari 300,boksi 25 za kalamu boksi 20 za penseli,mashati ya shule 114,sketi 15,kaputula 35,soksi jozi 100,vesti 60,mabegi ya mitumba 10,viatu vya mtumba jozi 20 na nguo mbalimbali kwa matumizi ya wanafunzi hao.

Vifaa hivyo vimetolewa na Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kushirikiana na Charity Event Group.


Akitoa taarifa ya Taasisi hizo Katibu wa Taasisi hiyo Bwana Omary Abdul ameeleza malengo ya Taasisi hizo kuwa ni kushirikiana na Serikali ili kuweza kutoa huduma stahiki kwa wanafunzi wanaosoma katika mazingira magumu ili kuwakwamua waweze kufikia ndoto zao za kielimu kwani Elimu ni haki ya Msingi ya mtoto.


 Naye mgeni rasmi katika Hafla hiyo Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete aliyeambatana na waheshimiwa Madiwani wa kata za Bwilingu na Pera pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chalinze Bwana Ramadhani Possi alizipongeza Taasisi zilizowezesha upatikanaji wa vifaa hivyo kwa ajili ya watoto wenye mahitaji maalum na kuzitaka Taasisi zingine ziige mazuri yanayofanywa na Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere katika kuboresha tendo la kujifunza.


Naye Diwani wa kata ya Pera,Mheshimiwa Jackson Mkango kwa niaba ya wananchi wa Kata ya Pera alitoa shukrani zake za dhati kwa Taasisi hizo zilizoonyesha moyo wa kusaidia watoto wenye mahitaji maalum hatimaye kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi katika Kata na Halmashauri kwa ujumla.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Halmashauri ya Chalinze Bwana Ramadhani Possi alizipongeza Taasisi hizo kwa kuendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kwa kutoa vifaa wezeshi ambavyo vitatatua changamoto ya ukosefu wa vifaa vya kujifunzia kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Halmashauri yetu “ Nitoe wito kwa Taasisi na mashirika mbalimbali ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali kuendelea kushirikiana nasi katika kuwahudumia watoto wetu karibuni sana tunaahidi kuwapa ushirikiano wa hali na mali.” Mkurugenzi alisema.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.