• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Sekretarieti ya maadili yatoa Elimu ya maadili katika kipindi cha “Gumzo leo” Chalinze fm 97.5

Imewekwa: December 1st, 2025

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo  Desemba Mosi,2025 imetoa elimu kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili katika utumishi wa umma kupitia kipindi cha Gumzo Leo kinachorushwa na kituo cha redio cha Chalinze FM 97.5 kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana.

 Katika mahojiano hayo, Afisa Uchunguzi Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Dar es Salaam, George Bakengesa, ameeleza historia ya kuanzishwa kwa Sekretarieti hiyo kupitia Ibara ya 132(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ambayo imepelekea kutungwa kwa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Sura ya 368.

Akifafanua  majukumu ya taasisi hiyo Bakengesa amesema ni pamoja na  kupokea na kuchunguza malalamiko ya ukiukwaji wa maadili, kupokea na kuhakiki tamko la mali na madeni ya viongozi wa umma, pamoja na kutoa elimu kwa viongozi na wananchi kuhusu uadilifu na uwajibikaji.

Aidha Akibainisha baadhi ya matendo yanayokiuka maadili kwa mujibu wa Sheria ya Maadili Sura ya 398, amesema kutowasilisha tamko, kutoa tamko la uongo, mgongano wa maslahi, matumizi mabaya ya madaraka na kuomba au kupokea zawadi. Adhabu zinazoweza kutolewa ni pamoja na onyo, kushushwa cheo, kufukuzwa kazi au adhabu nyingine kulingana na sheria za nidhamu.

Kwa upande wake Afisa Uchunguzi  Sekretarieti ya maadili ya uma  Emma Raphael Masilamba amesema maadhimisho ya Wiki ya Maadili yanashirikisha taasisi mbalimbali za umma ikiwemo Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, TAKUKURU, Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, Ofisi ya Haki za Binadamu, Wizara ya Katiba na Sheria, pamoja na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora.

Vile vile Masilamba amesema kwa Kanda ya Dar es Salaam, maadhimisho ya mwaka huu yanafanyika kuanzia tarehe 1 hadi 10 Desemba huku yakiambatana na utoaji wa elimu kupitia vipindi vya redio pamoja na kongamano maalum la wanafunzi wa vyuo vikuu litakalofanyika katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) tarehe 5 Desemba 2026.

Pia  amesema  kongamano hilo ni fursa kwa vijana kujadili masuala ya maadili na kuhamasishwa kuzingatia uzalendo na maslahi ya taifa katika maisha ya kila siku.

Maadhimisho ya Wiki ya  Maadili huadhimishwa Duniani kote,yakiongozwa na  kaulimbiu isemayo “Kwa pamoja, tujenge jamii yenye maadili, haki za binadamu na vita dhidi ya rushwa ili kuimarisha utawala bora.”,huku Kauli mbiu hiyo ikilenga kukumbusha  kila mmja ana jukumu la kushiriki katika ujenzi wa Taifa lenye haki,uwazi na uadilifu.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Sekretarieti ya maadili yatoa Elimu ya maadili katika kipindi cha “Gumzo leo” Chalinze fm 97.5

    December 01, 2025
  • Jamii imeaswa kuwa na mwitikio chanya katika kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na Ukimwi

    December 01, 2025
  • Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo, Ndugu Shabani Hamisi Karage atangaza Matokeo ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri Chalinze

    December 01, 2025
  • Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze wameendelea kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya Afya na Mazingira ya Mwisho wa Mwezi

    November 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.