• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Sekretarieti ya maadili yawataka Viongozi kuzingatia maadili ili kuimarisha uadilifu.

Imewekwa: December 3rd, 2025

Afisa wa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Silvanus Njenga, amewataka viongozi na jamii kwa ujumla kuendelea kuzingatia misingi ya maadili ili kuimarisha uadilifu na uwajibikaji katika utumishi wa umma.

Ameyasema hayo leo Desemba 3, 2025 alipokuwa akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Gumzo Leo kinachorushwa na Kituo cha Redio cha Chalinze FM 97.5 kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 4:00 hadi saa 7:00 .Njenga amesema sehemu ya tatu ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma inaelekeza maadili yanayotakiwa kufuatwa na viongozi wote kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aidha amesema sehemu hiyo ya sheria inawataka viongozi wa umma kutoa Tamko la Mali na Madeni yao kila mwaka pindi wanapoteuliwa au wanapoacha nyadhifa, huku kifungu cha 10 na 11 kikiainisha mali zinazotakiwa kutolewa tamko.

 Pia Njenga amesema kifungu cha 12(1) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya mwaka 1995 kinakataza viongozi kujinufaisha kwa kutumia taarifa za kikazi, kutoa taarifa kwa watu wasioruhusiwa, kushinikiza maamuzi yasiyofaa, kutumia mali za Serikali kwa maslahi binafsi na kupokea maslahi ya kiuchumi kinyume cha utaratibu isipokuwa zawadi ndogo au zawadi kutoka kwa ndugu wa karibu.

Akifafanua kwa mujibu wa kifungu cha 9(1), amesema viongozi wanapaswa kutoa tamko la rasilimali na madeni ndani ya siku 30 mara baada ya kuteuliwa.Vile vile amesema ifikapo Desemba 31 ya kila mwaka pia na wanapoacha madaraka.

Sanjari na hayo ametaja mali zinazopaswa kutamkwa kuwa ni fedha taslimu, amana, hisa, nyumba, magari, mashamba, mifugo, madini, mitambo na maslahi mengine ya kibiashara pamoja na madeni ya mwenza na watoto walio chini ya miaka 18.Njenga amesema tamko la mali ni muhimu kwa kuongeza uwazi, kudhibiti mgongano wa maslahi, kupunguza matumizi mabaya ya madaraka, kuzuia rushwa na kuongeza uadilifu kwa viongozi wa umma.

Ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya maadili Duniani kwa Kanda ya Dar es salaam yanaadhimishwa kuanzia tarehe 1 Desemba hadi tarehe 12 kwa kutoa elimu kupitia vipindi vya Redio na Kongamano maalum la wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka maeneo mbalimbali.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Sekretarieti ya maadili yawataka Viongozi kuzingatia maadili ili kuimarisha uadilifu.

    December 03, 2025
  • Wananchi wahamasishwa kuwa na utaratibu wa kuwapa Maziwa Watoto katika kipindi chote cha ukuaji ili kuwasaidia kukukua vizuri kiakili na kuwa na afya njema

    December 03, 2025
  • Sekretarieti ya maadili yatoa Elimu ya maadili katika kipindi cha “Gumzo leo” Chalinze fm 97.5

    December 01, 2025
  • Jamii imeaswa kuwa na mwitikio chanya katika kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na Ukimwi

    December 01, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.