• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Serikali yatoa milioni 700 kujenga kituo cha afya Kiwangwa

Imewekwa: November 8th, 2023


Diwani wa kata ya Kiwangwa Mhe Marota kwaga ametoa shukrani kwa Mhe Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio cha Wananchi wa Kata ya Kiwangwa na kuwapatia jumla ya fedha za kitanzania milioni 700 kwa ajili ya Ujenzi wa kituo cha Afya kupitia Mradi wa Tasaf.


Akizungumza mbele ya Wananchi wa Kata hiyo wakati wa mkutano wa Hadhara uliofamyika katika ofisi za Kijiji tarehe 7 Novemba 2023 ametoa pongezi Pamoja na kusema kilio cha wananchi wa kata ya kiwangwa kilikuwa ni kupata kituo cha afya katika kata hiyo toka pale ambapo Mhe Rais alikuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Pia Mhe Diwani amewaomba Wananchi wa kata ya kiwangwa kuendelea kuwa na Imani na viongozi wao Pamoja na kuwasemea mazuri kuanzia Mhe Rais,Mhe Mbunge wa Jimbo hilo Mhe Ridhiwani Kikwete kwani amefanya jitihada kubwa ya kuhakikisha fedha hizo za kituo cha afya zinapatikana na kupelekwa katika kata ya kiwangwa.


Naye Ndg.Abdul Marik Afisa miradi kutoka makao makuu Tasaf amesema kuwa ameshuhudia namna ambavyo wananchi wa kiwangwa walivyokuwa wanauhitaji wa kituo hicho cha afya na kuona utaratibu wote walioufanya wa kuchagua Kamati ambayo ndio itakuwa inasimamia ujenzi huo wa kituo cha afya huku akiwataka kuulinda mradi huo Pamoja na wananchi kuhakikisha wanatoa michango yao katika ujenzi wa mradi huo.


Mganga Mkuu wa Wilaya Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Dkt.Allen Mlekwa ametoa wito kwa wananchi wa kata hiyo kuhakikisha wanatoa ushirikiano pale tu mtu anapotaka kuhujumu mradi kwa kutaka kufanya wizi wa vifaa watoe taarifa mapema kwa vyombo husika ili hatua stahiki zichukuliwe.

Kwa upande wa wananchi wa Kata ya kiwangwa wametoa shukrani kwa serikali kwa kuwaletea pesa hizo kwa ajiili ya ujezi wa kituo cha afya kwani walikuwa na uhitaji mkubwa wa kituo hicho Pamoja na kusema kuwa watahakikisha kuwa wanaulinda mradi mpaka utakapo kamilika.


Kata ya Kiwangwa imepata fedha za ujenzi wa kituo cha afya kiasi cha shilngi milioni 700 ambapo fedha hzo zimetolewa na serikai kupitia mradi wa Tasaf kulingana na uhitaji wa kata hiyo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.