• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Shirika la KINNAPA latambulisha mradi Chalinze

Imewekwa: September 16th, 2022


Shirika lisilokuwa la kiserikali la KINNAPA Development Programme lililoundwa na wananchi 5800 wa jamii za wafugaji,wakulima wadogo wadogo na wawindaji waokota matunda,shirika hili lilianzishwa mwaka 1990. Chi a kuu ya shirika hili ni kuchangia uboreshaji wa maisha ya wafugaji wa asili,wakulima wadogo wadogo na wawindaji waokota matunda wa Tanzania Bara huku likihakikisha kuwa kuna ushiriki wa jamii katika miradi ya Maendeleo,usawa wa kijinsia,matakwa ya sera na Sheria za Tanzania pamoja na usimamizi endelevu wa rasilimali.


Shirika hili limetoa mafunzo na kutambulisha mradi utakaotekelezwa katika Halmashauri ya Chalinze kwa waheshimiwa Madiwani na wakuu wa Idara na Vitengo na kueleza vipau mbele vya shirika katika Halmashauri ya Chalinze,akieleza vipaumbele vya shirika hilo Mkurugenzi wa Shirika hilo Bwana, Abraham Akilimali alieleza kuwa KINNAPA Imejikita katika kufanya shughuli zake katika vipaumbele sita ambavyo Maji,na Usafi wa Mazingira,Huduma za kiafya,Maendeleo ya Mifugo na Kilimo,Usimamizi wa Ardhi,Elimu pamoja na uendelezaji wa Shirika.


Akizungumza na washiriki wa warsha hiyo Mkurugenzi wa KINNAPA alieleza mafanikio ambayo yamefikiwa na shirika hilo na jinsi ambavyo shirika limewafikia wananchi zaidi ya 200,000 katika utekelezaji wa shughuli zake.

“KINNAPA Tumewahi kuwa na miradi katika vijiji 63 vya wilaya ya Kiteto,vijiji na mitaa 87 katika wilaya ya Simanjiro,pia tumetekeleza miradi katika wilaya za Serengeti na Bunda Mkoani Mara,Kilindi na Handeni Mkoani Tanga,Mvomero Mkoani Morogoro,Chemba na Kondoa Mkoani Dodoma ,Hanang’,Mbulu na Babati Mkoani Manyara,Kishapu mkoa wa Shinyanga na Meatu Mkoa wa Simiyu na kufanya shughuli mbalimbali za kijamii kama Elimu juu haki za ardhi,usimamizi bora wa Ardhi,mipango na matumizi bora ya Ardhi pamoja na usimamizi wa rasilimali. limali.”Mkurugenzi wa KINNAPA alisema.


Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze Mheshimiwa Hassani Mwinyikondo kwa niaba ya wanawarsha aliwashukuru viongozi wa shirika la KINNAPA kwa maamuzi ya kuja kufanya kazi na wanachalinze na kuahidi kuwapa ushirikiano wa hali ya juu katika utekelezaji wa miradi mbalimbali waliyokusudia kuitekeleza kwa mujibu wa mpango kazi wao.

“ Kwa niaba ya Madiwani wenzangu na Halmashauri kwa ujumla tumekubali kuwapokea na kufanya kazi nanyi,tunawaomba mkashirikiane na wananchi katika kuwawezesha kupitia mafunzo mliyoyaandaa ili malengo yenu kama shirika yakaweze kufikiwa kama mlivyokusudia.” Mwinyikondo alisema.


Kwa upande wake Afisa Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri Bwana Msongo Msongolo ameahidi kutoa ushirikiano kwa shirika la KINNAPA katika utekelezaji utekelezaji wa miradi mbalimbali itakayokuwa imeainishwa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Chalinze yapongezwa kwa Hati Safi Mfululizo miaka mitano

    June 18, 2025
  • Mwenyekiti wa UWT akagua miradi ya maendeleo Chalinze

    June 13, 2025
  • Madiwani wa Pangani waipongeza Chalinze kwa Miradi ya mapato ya ndani

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.