• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI),Halmashauri ya Chalinze zashirikiana kutoa huduma ya Matibabu ya Moyo bila Malipo

Imewekwa: June 8th, 2022

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) yashirikiana naHalmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani kutoa vipimo vya magonjwa ya Moyo bila malipo kwa wananchi na wakazi wa Chalinze na Mikoa ya jirani inayopakana na Chalinze katika Hospitali ya Msoga. 

Zoezi hilo la siku mbili linaendeshwa na madaktari bingwa kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze linakuhudumia wananchi wa rika zote ambapo kwa wale watakaokutwa na magonjwa ya moyo wanapewa rufaa ya kwenda katika ofisi za Taasisi hizo zilizopo Dar es salaam ili kupata msaada Zaidi.

Daktari bingwa wa masuala ya Moyo kutoka Taasisi ya JakayaKikwete Dkt.Peter Kisenge ameelezea na kutoa tathmini yamatokeo ya zoezi zima la upimaji wa magonjwa ya moyoambayo limefanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinzeambapo ametaja idadi ya watu waliofika katika zoezi hilo la upimaji pamoja na kutoa idadi ya watu waliopatikana magonjwa hayo na ambao wako salama.

Tangu tumefika hapa siku ya Jumamosi mpaka leo tunamaliziazoezi hili la upimaji tumeweza kupata idadi ya watu 422 ambapokati ya hao asilimia 60 ya wagonjwa ambao tumewaona wengiwao wana matatizo ya shinikizo la damu kwa misuli yao yamoyo kutanuka na kutofanya kazi vizuri, na tumewezakuwapeleka wagonjwa wa Moyo 20 katika Taasisis yetu kwaajiliya kupata uchunguzi Zaidi.Amesema Dkt.Kisenge

Vilevile Dkt. Kisenge amewashauri wananchi wote kuwa niwakati muafaka kujikinga na magonjwa ya moyo kwa kufanyamazoezi na kuzingatia lishe bora na kuepuka vyakulavinavochangia unene wa ghafla kama vyakula vyenyewanga,nyama kwa wingi lakini pamoja na unywaji wa pombepamoja na uvutaji wa sigara uliiokithiri.

Nae Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya ChalinzeDkt.Allen Mlekwa amewapongeza wananchi wa Chalinze kwakujitokeza kupata huduma ya vipimo vya moyo pamoja namikakati ya Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze juu yakuendeleza vipimo hivyo.

Kama wilaya tumejipanga kupiga kambi katika vaijiji vyetu natarafa sisi pamoja na madaktari bingwa kutoka taasisimbalimbali ili kuweza kupata idadi kubwa ya wenye mahitajiwa huduma hizi na si za moyo peke yake bali hata kliniki zakinamama na za watoto kwani kuna utambuzi wa magonjwa yawatoto ambayo yanatakiwa kujulikana lakini pia kuna watuwanashindwa kufika kwasababu za changamoto za usafiri. Amesema Dkt.Allen.

Aidha Dkt. Mlekwa ametoa shukrani kwa naiaba yaHalmashauri ya Wilaya ya Chalinze na kumshukuru Serikali yaawamu ya sita pamoja na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwetekwa ushirikiano wa kutoa huduma za matibabu.

Nipende kutoa shukrani zangu za dhati kwa Serikali yetu yaawamu ya sita kwa kuendelea kuweka mazingira bora ya afya navilevile shukrani kwa Halmashauri yetu ya Chalinze kwakuendelea kutoa sapoti kwa mazoezi kama haya kwa wananchiwake na pia nawapongeza sana Taasisi ya Moyo ya JakayaKikwete kwa muitikio wake wa kuweza kutoa huduma hii ya vipimo. Aliongeza Dkt.Mlekwa

Aidha kwanianba ya kundi la wananchi waliopatiwa vipimohivyo Bi.Gabriela Mtwale ameishukuru Halmashauri ya Chalinze kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kwa huduma walizozipata za vipimo ambapo wametoa shukrani na kuomba Taasisi kufanya huduma hii mara kwa mara

Nashukuru nimepokelewa vizuri na nimepata vipimo kama vile nimeweza kupima presha,uzito ,sukari na magonjwa ya moyo na niiombe taasisi hii iweze kuja mara kwa mara ili tuweze kupata huduma hizi kwa ukaribu Zaidi na pia niwaombe wananchi wenzangu zinapotokea fursa za vipimo na hata matibabu basi tuweze kujitokeza kwa wingi.

 Huduma hiyo ya upimaji wa Magonjwa ya Moyo kwa wananchini ya siku mbili ambapo ilianza siku ya Jumamosi ya tarehe28/05/2022 na kufikia tamati hii leo Tarehe 29/05/2022

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.