• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Taasisi ya Shree Tanzania Swaminarayan Mandir Watoa misaada mbalimbali kwa Wazee na Wanafunzi Chalinze

Imewekwa: January 15th, 2023


Taasisi ya dini ya kihindi ijulikanayo kama Shree Tanzania Swaminarayan Mandir yenye makao makuu jijini Dar es Salaam imetoa msaada wa vyakula kwa wazee wapatao 200  na kutoa vifaa vya kujifunzia(Madaftari na Kalamu) kwa wanafunzi zaidi ya 1000 katika Kata ya Msoga,Halmashauri ya wilaya ya Chalinze.


Taasisi hiyo imetoa vyakula mbalimbali kama mchele,maharage,sukari na chumvi. Vyakula hivyo vimetolewa leo katika Ofisi ya Kata ya Msoga. Vyakula hivyo vimetolewa na shirika hilo kama utaratibu wa dhehebu hilo kutoa sadaka kwa jamii kila mwaka kama sehemu ya ibaada misaada hii Ni maalum kwa sababu ya msikiti mkuu ulioko India unakamilisha miaka 200 mwaka huu hivyo dhehebu lina kila sababu ya kutoa sadaka kwa kumshukuru Mungu kwa kuliwezesha dhehebu hilo kuendelea kukua.


Kwa upande wa vifaa vya kufundishia Taasisi imetoa madaftari na kalamu kwa wanafunzi wa darasa la kwanza hadi darasa la tatu wapatao 1074 wanaosoma Shule za Msingi Msoga,Mboga na Lunga,Lubaya na Changa zote za kata ya Msoga.


Kwa mujibu wa Bwana Kenti Patel kwa niaba ya Mwenyekiti wa dhehebu hilo amesema misaada hiyo imetolewa sehemu mbalimbali nchini kwa makundi mbalimbali kama wazee,watoto,wagonjwa na kuwawezeshaa kimaisha.


Aidha kwa upande wake Diwani wa Kata ya Msoga,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze Mheshimiwa Hassani Mwinyikondo alitoa shukrani zake za dhati kwa Taasisi hiyo kwa moyo wa upendo kwa wananchi wake hususan kwa kundi maalum la wazee kwa kuwapatia vyakula ili kuboresha afya zao. Halikadhalika alitoa shukrani kwa Taasisi hiyo kwa kutoa madaftari na kalamu kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi zaidi ya 1000 katika Kata ya Msoga.


Mheshimiwa Mwinyikondo katika neno lake la shukrani aliiomba Taasisi hiyo kuendelea kutoa misaada ya kielimu sanjari na kusaidia upatikanaji wa chakula kwa wanafunzi wanapokuwa shuleni ili kuinua kiwango cha ufaulu wa wanafunzi katika Halmashauri ya Chalinze kwa ujumla.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.