• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

TANESCO yaunga Mkono jitihada za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Matumizi ya

Imewekwa: January 26th, 2026


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi, hususani kwa matumizi ya nyumbani.


Hayo yameelezwa leo,   Januari 26,2026, katika studio za Chalinze FM kwenye kipindi Cha Amka na Chalinze,  ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Nishati Safi ya Kupikia.


Akizungumza katika kipindi hicho, Afisa Mahusiano na Huduma kwa Wateja wa TANESCO, Bi. Ester Msaki, amesema matumizi ya nishati safi yana umuhimu mkubwa kwa jamii kwani hayana madhara kwa binadamu na viumbe wengine.


Amesema matumizi ya nishati safi ya kupikia yatasaidia kupunguza matatizo ya kiafya yanayoikumba jamii, ambayo yamekuwa yakisababishwa na matumizi ya kuni na mkaa yanayozalisha moshi unaodhuru afya.


Aidha, Bi. Msaki ameeleza kuwa kutokana na umuhimu wa nishati safi, TANESCO imekuwa ikitoa elimu kwa wananchi waishio vijijini na mijini kuhusu matumizi sahihi ya nishati hiyo. Pia shirika hilo limeanzisha mkakati wa kuwakopesha wananchi vifaa vya kupikia vinavyotumia umeme kidogo kwa gharama nafuu, ambapo wananchiwa watalipa kwa awamu hadi kukamilisha malipo.


Amefafanua kuwa vifaa hivyo ni majiko ya umeme yaliyokaguliwa na kuhakikiwa, yakiwa salama kwa watumiaji na yanayotumia umeme kwa kiwango kidogo. Lengo ni kupunguza gharama za matumizi ya nishati pamoja na kulinda afya za wananchi.


Mwisho, Bi. Ester Msaki ametoa wito kwa wananchi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika kampeni ya matumizi ya nishati safi, akisisitiza kuwa suala hilo si la kisiasa bali ni la kiafya na maendeleo ya Taifa.


Katika tukio hilo, Bi. Msaki aliambatana na Msimamizi wa Ufundi wa TANESCO Chalinze, Bw. Eliezer Minja, pamoja na Afisa Uhusiano wa TANESCO Chalinze, Bi. Cresencia Muhoja.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TANESCO yaunga Mkono jitihada za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Matumizi ya

    January 26, 2026
  • Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU apongeza ujenzi asema umekamilika Kwa ufanisi mkubwa

    January 25, 2026
  • Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU apongeza ujenzi asema umekamilika Kwa ufanisi.

    January 25, 2026
  • Waziri Ridhiwani Kikwete akabidhi vifaa vya kielektroniki Kwa Walimu wenye mahitaji Maalum Chalinze

    January 25, 2026
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.