• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Tatizo la maji chalinze kuwa historia

Imewekwa: September 22nd, 2021

Moja ya malengo ya ziara ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakari Kunenge  katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze ni kusikiliza kero za wananchi wa Chalinze na kuzitatua.

Na katika kuskiliza kero hizo, moja ya kero kubwa ni uhaba wa maji kwenye maeneo mengi ya Chalinze ambapo katika kulitolea ufafanuzi suala hilo Mkuu wa Mkoa Mhe. Abubakari Kunenge alimtaka Meneja DAWASA Pwani  Eng. Paschal Fumbuka kulitolea ufafanuzi suala hilo kwa wananchi na meneja huyo alisema

“Ni kweli tuna uhaba wa maji kwenye baadhi ya maeneo kutokana na hapo awali Chalinze ilikuwa inategemea chanzo Kimoja cha maji ambacho ni mto Wami, Chanzo hicho kilikuwa kinauwezo wa uzalisha wa maji Kiasi cha Mita za ujazo 7200 wakati mahitaji Halisi ni Mita za ujazo 15000 kusababisha kuzidiwa kwa mradi wa maji Wami, Alisema Eng. Fumbuka.

 Kupata suluhisho la changamoto hiyo serikali ilitenga fedha kwa ajili ya Mradi Mkubwa wa Maji wa Mlandizi – Mboga  na mradi huu umekwisha anza unategemea kukamilika mapema Mwenzi Octoba na tatizo la maji Chalinze litabaki Historia, hivyo tunamalizia uingizaji wa maji kutoka mlandizi ambao utasaidia kuongeza ujazo wa maji na kufanya wanachalinze kupata maji muda wote”. Aliongeza Eng. Fumbuka.

Hata hivyo Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani aliwahakikishia wananchi kuwa suala la kero ya maji Chalinze na Mkoa wa Pwani litakuwa historia kwani dhamira ya Serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na  Mhe. Samia Suluhu Hassan ni kumaliza kero hiyo    

 “Suala la maji Chalinze litakuwa historia kwani DAWASA wametolea ufafanuzi suala hilo na nitoe maelekezo kwa DAWASA kuhakikisha Vioksi vya maji vinakamilika ili wananchi waweze kupata maji kwa gharama ndogo sana na muda huu nitakwenda kukagua mradi huo wa maji uliopo Msoga ili kuona maendeleo ya mradi huo muhimu kwa maslahi ya wanachalinze na Taifa kwa ujumla na hiyo ndio dhamira ya Serikali inayoongozwa na Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan”. Alisema Mhe. Kunenge.

Ziara hiyo ya mkuu wa Mkoa wa Pwani imelenga kusikiliza kero za wananchi wa Chalinze, kutembelea miradi mbalimbali na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Walimu wapewa maelekezo ya kazi Chalinze

    July 10, 2025
  • Kampeni ya Ugawaji vyandarua bila malipo yazinduliwa Chalinze

    July 10, 2025
  • Waziri Dkt Kijaji Azindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Mkoani Pwani

    July 09, 2025
  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.