• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

TEMESA yatakiwa kutekeleza majukumu yake kwa kuwashirikisha wananchi

Imewekwa: March 3rd, 2023

TEMESA YATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA KUWASHIRIKISHA WANANCHI 

Mkuu wa mkoa wa Pwani Mheshimiwa Abubakari Kunenge ambaye pia ni mwenyekiti wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Pwani amewataka TEMESA na Taasisi zingine zilizo ndani ya mkoa wa Pwani kuwashirikisha wadau tumizi au wananchi na mkoa ili kujua kinachofanyika kama kitajibu kero na mahitaji ya wananchi.


“ Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao cha Mawaziri na Makatibu Wakuu ametaka tuwe msitari wa mbele katika kuyasema mazuri yote yanayofanywa na Serikali na kutoa ufafanuzi juu ya upotoshaji unaoweza kujitokeza kwa wakati,hivyo Taasisi zote zinazotekeleza miradi ndani ya Mkoa wa Pwani sharti ziwasiliwane na wananchi.” Kunenge alisema.


Wananchi washirikishwe kabla ya utekelezaji wa miradi sanjari na kuwafahamisha wananchi kuhusu jitihada zinazofanywa na Serikali katika utatuzi wa kero mbalimbali zinazowakabili katika mazingira yao.


Hoja ya kutoshirikishwa kwa wananchi katika utekelezaji wa miradi ya Serikali iliibuka pale Meneja wa TEMESA Alipowasilisha namna Serikali inavyochukua hatua katika kutatua kero ya usafiri kwa wananchi wa wilaya ya Mafia.

Meneja alisema Serikali inampango wa kujenga kivuko kitakachowasaidia Wananchi wa Mafia kuwa na uhakika wa usafiri.

Matangazo

  • ELIMU KWA UMMA October 05, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Chalinze inatekeleza agizo la serikali kwa kuendelea kutoa Chakula shuleni

    March 10, 2023
  • Halmashauri tatu za mkoa wa Pwani zashiriki kikao cha mradi wa Kwala

    March 06, 2023
  • TEMESA yatakiwa kutekeleza majukumu yake kwa kuwashirikisha wananchi

    March 03, 2023
  • TEMESA yatakiwa kutekeleza majukumu yake kwa kuwashirikisha wananchi

    March 03, 2023
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • Mfumo wa Bajeti
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.