• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

TRA yatambulisha Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Kodi (IDRAS)

Imewekwa: January 29th, 2026


Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mafunzo kuhusu matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa kusimamia na kukusanya kodi za ndani ya nchi unaojulikana kama Integrated Domestic Revenue Administration System (IDRAS).

Akielezea mfumo huo, Afisa Muandamizi wa Usimamizi wa Kodi wa TRA, Musa Otieno, amesema kuwa IDRAS umeundwa kuchukua nafasi ya mifumo mbalimbali inayotumika kwa sasa ndani ya mamlaka hiyo. Amesema mfumo huo utapunguza matumizi ya makaratasi na kuwezesha shughuli zote zinazohusiana na usimamizi wa kodi za ndani kufanyika kwa njia ya kielektroniki.

TRA imeeleza kuwa lengo kuu la kuanzisha mfumo wa IDRAS ni kuboresha huduma za usimamizi wa kodi za ndani, kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato, pamoja na kuleta urahisi kwa walipakodi na wadau wengine.

Kwa upande wake, Afisa Kodi Ajira Ismail, amesema mfumo wa IDRAS utatoa huduma mbalimbali ikiwemo usajili na uboreshaji wa taarifa za walipakodi, uwasilishaji wa matamko ya kodi (tax returns), makadirio na utozaji wa kodi, malipo ya kodi kwa njia ya kielektroniki, ufuatiliaji wa madeni ya kodi, pamoja na upatikanaji wa ripoti na takwimu za mapato.

Aidha, huduma nyingine zitakazopatikana kupitia mfumo huo ni maombi ya leseni mbalimbali, maombi ya marejesho ya kodi (tax refunds), maombi ya mapingamizi na rufaa za maamuzi ya kikodi (objections and appeals), maombi ya msamaha wa riba na adhabu, pamoja na huduma nyingine za usimamizi wa kodi.

Naye Meneja wa TRA Chalinze, Proches Richard Kahema, amesema kuwa TRA imewawezesha walipakodi kufikia mfumo huo wa majaribio ili waweze kujifunza na kuuzoea kabla ya kuanza kutumika rasmi.

Ameongeza kuwa walipakodi na watumishi wengine wanahimizwa kujiandaa kikamilifu kwa kupata uelewa wa matumizi ya mfumo huo kupitia mafunzo na taarifa mbalimbali zinazotolewa na TRA. Pia amewataka walipakodi kutumia kipindi hiki cha majaribio kuhakiki na kusahihisha taarifa zao pamoja na za wawakilishi wao ili kuepuka usumbufu pindi mfumo utakapoanza kutumika rasmi.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TRA yatambulisha Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Kodi (IDRAS)

    January 29, 2026
  • TRA yatambulisha Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Kodi (IDRAS)

    January 29, 2026
  • Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Chalinze Ramadhani Possi afanya kikao na wafanyabiashara wa Chalinze.

    January 29, 2026
  • Maadhimisho ya kuzaliwa Kwa Rais Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan Halmashauri ya Chalinze yaungana nae katika upandaji wa miti.

    January 28, 2026
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.