• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Twendeni tukawasaidie Wananchi-Mwinyikondo

Imewekwa: May 6th, 2023


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe.Hassan Mwinyikondo amewataka watendaji wa Kata,Vijiji na Vitongoji Pamoja na Wenyeviti wa Vijiji kuhakikisha wanawasaidia wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze katika kutatua shida na kusikiliza mawazo wanayoyatoa wananchi.

Ameyasema hayo hii Leo wakati wa Kikao kazi cha kujadili Hali ya ukusanyaji wa mapato na mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023bkatika Halmashauri ya Wilayaya Chalinze.

"Niwaombe Wenyeviti na Watendaji mkahakikishe kuwa mnakwenda kuwasaidia wananchi katika kutatua suala la migogoro yao hasa katika migogoro ya Ardhi  na kwa kufanya hivyo ni kuisaidia Halmashauri ya Chalinze na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wananchi wake"Amesema Mhe.Mwinyikondo.

Aidha kwa upande mwingine Mhe.Mwinyikondo amewataka viongozi hao wa ngazi ya Kata na Vijiji kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha wanaziba mianya ya upotevu wa mapato katika vyanzo na kuhakikisha kunakuwa na ongezeko la mapato kwani ni desturi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ndg.Ramadhan Possi amebainisha kuwa Kikao hicho ni muhimu kwani huwa kinakuwepo kila baada ya miezi mitatu na lengo lake kuwa ni kuona Changamoto za ukusanyaji wa mapato na kujadiliana ni kwa namna gani Changamoto hizo zinaweza kutatuliwa kwa wakati ili kuweza kuongeza mapato katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

Hata hivyo katika ajenda nyingine ya Mwenge wa Uhuru 2023 Mratibu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru wa Halmashauri  Ndg. John Mlyambate aliwasihi wajumbe wa Kikao hicho kushiriki kikamilifu katika kufanikisha mapokezi ya mbio za Mwenge wa uhuru kwa kuzingatia itifaki ya Mwenge na vigezo vya mashindano kutokana na mwongozo wa mwaka 2023.

 

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.