• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze afanya ziara katika kata ya Kimange

Imewekwa: August 31st, 2019

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mheshimiwa Saidi Omary Zikatimu amefanya ziara katika kata ya Kimange hivi karibuni ikiwa ni pamoja na kujionea na kukagua miradi ya maendeleo yanayofanywa katika kata hiyo.

Akiwa kwenye ziara hiyo Mh.Said Zikatimu  ameweka jiwe la msingi katika mradi wa Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa unaojengwa katika Shule ya Msingi PongweMnazi katika kata hiyo wenye gharama ya Tsh.Milioni 20.5 na Ujenzi wa Nyumba 1 ya mwalimu yenye thamani ya kiasi cha Tsh.milioni 11na  kutoa pongezi kwa Walimu , Kamati ya shule na Wananchi kwa kushirikiana vyema kwa kusimamia na  kufikia hatua nzuri ya ujenzi.

“Nawapongeza sana Walimu, Kamati ya shule na Wananchi kwa ushirikiano wenu katika  kusimamia vyema utekelezaji wa mradi wa ujenzi huu mpaka kufikia hatua nzuri naamini mradi huu utakapomalizika utaondoa adha ya upungufu wa madarasa katika shule hii na kufanya wanafunzi kusoma kwa bidii na kufikia malengo yao.’’ Alisema Mh. Zikatimu.

Hata hivyo  Mheshimiwa Mwenyekiti ameongezea kwa kusema..

“ miradi hii ni miradi endelevu kwani fedha zimetengwa kwaajili ya ujenzi wa shule kadhaa zikiwemo kiasi cha Tsh.milioni 346 kwaajili ya ujenzi wa baadhi ya shule za msingi na kiasi cha Tsh.Milioni 579 kwaajili ya ujenzi wa shule za sekondari ukiwemo mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Chahua.”

Kwa upande wa walimu na wanafunzi wamemshukuru Mh.Zikatimu kwa kutilia mkazo katika ujenzi huo wa miundombinu ya elimu katika Shule hiyo.

“Tuanaishukuru sana serikali yetu kwa kuweza kutujengea vyumba vya madarasa na itatusaidia kusoma bila kuwekeana zamu ya kuingia darasani ambapo itakuwa ni tofauti na mwanzoni kwani tulikuwa tunaingia darasani kwa kupangiana zamu.’’Alisema ,Karim Zamoyoni Ally .

Moja ya Jukumu la Serikali ni kuhakikisha kuwa Miundombinu ya Elimu inasimamiwa vyema nchini kupitia watendaji wake ili kuwepo na upatikanaji wa elimu bora nchini kwa kuhakikisha Ujenzi wa Madarasa,maabara,nyumba za walimu, na uwepo wa wataalamu wa mafunzo  yaani walimu  ambapo inapelekea kuwa na Taifa lenye maendeleo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Maandalizi ya Maonyesho ya Nanenane kanda ya Mashariki yapamba moto

    July 29, 2025
  • Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kujenga kituo cha mafuta kwa mapato ya ndani

    July 16, 2025
  • Mkurugenzi Mtendaji Chalinze Atembelea maonyesho ya 49 ya Saba saba

    July 14, 2025
  • Walimu wapewa maelekezo ya kazi Chalinze

    July 10, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.