• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Wakuu wa Idara na Vitengo wapata mafunzo Chalinze

Imewekwa: April 24th, 2025



Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imepatiwa mafunzo maalum ya namna ya kutumia mfumo mpya wa kushughulikia hoja za ukaguzi katika taasisi za serikali. Mafunzo haya muhimu yamefanyika leo katika Ukumbi Masafa wa Halmashauri, yakilenga kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara na Vitengo katika kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi kwa mujibu wa taratibu za ukaguzi.


Mafunzo haya yametolewa na Bwana Michael Maganga, ambaye ni Mkaguzi wa Ndani wa Halmashauri hiyo. Katika mafunzo hayo, Bwana Maganga ameielekeza menejimenti kwa kina namna ya kutumia mfumo huo hatua kwa hatua. Aliwaonesha namna ya kuzisoma hoja za ukaguzi zilizowasilishwa na wakaguzi, jinsi ya kuzijibu hoja hizo ipasavyo, pamoja na namna ya kuziwasilisha kwa mamlaka zinazohusika kupitia mfumo huo wa kisasa.


Kupitia mafunzo hayo, wajumbe wamepata uelewa wa kutosha kuhusu umuhimu wa mfumo huo na namna unavyorahisisha kazi ya kushughulikia hoja za ukaguzi kwa uwazi na uwajibikaji. Aidha, mfumo huo unatarajiwa kuongeza ufanisi wa utendaji kazi na kusaidia kuhakikisha kuwa hoja zote za ukaguzi zinashughulikiwa kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa.


Wakuu wa Idara na Vitengo waliopatiwa mafunzo wamepongeza jitihada hizo na kuahidi kutumia maarifa waliyopata kikamilifu. Wameeleza kuwa mfumo huo utaongeza uwazi, uwajibikaji na kurahisisha mawasiliano kati ya Halmashauri na mamlaka za ukaguzi, hivyo kusaidia katika kuboresha utawala bora ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dkt Kikwete ahakiki taarifa zake Daftari la kudumu la mpiga kura Msoga

    May 16, 2025
  • Chalinze yatoa mafunzo ya wagawa Dawa za Kinga tiba dhidi ya mabusha na matende

    May 16, 2025
  • Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Chalinze Afungua mafunzo ya waandikishaji

    May 15, 2025
  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.