• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Wananchi wa Chalinze watakiwa kufuata Sheria na taratibu zilizowekwa ili kupata umiliki wa ardhi usioleta migogoro

Imewekwa: January 23rd, 2026

Na Mkombozi Zumba

Halmashauri ya Chalinze imeendelea kushughulikia kero za wananchi wake kwa kusikiliza na kutatua migogoro mbalimbali ya ardhi, ambapo jana, Januari 22, 2026, ilipokea na kusikiliza malalamiko ya wananchi wa Kijiji cha Kibindu kuhusu mgogoro wa ardhi kati yao na mwekezaji, pamoja na mgogoro mwingine wa ardhi uliotokea Kata ya Vigwaza.

Kikao hicho kilifanyika kwa lengo la kusikiliza pande zote zinazohusika ili kupata ufumbuzi wa kudumu wa migogoro hiyo, huku viongozi wa serikali wakisisitiza umuhimu wa kufuata sheria, kanuni na taratibu za umiliki wa ardhi kama zilivyoainishwa kisheria.

Akizungumza katika kikao hicho, Katibu Tawala wa wilaya ya Bagamoyo, Bi. Stella Msofe, alisema ofisi yake imepokea mashauri hayo kwa uzito unaostahili na kuwataka wananchi kuwa wavumilivu wakati serikali ikiendelea kuyafanyia kazi kwa kuzingatia misingi ya haki na sheria za nchi.

Aidha, Bi. Stella alitoa rai kwa Wananchi akiusoma waraka uliotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo unaohusu umiliki wa ardhi,waraka namba 1 wa 2025 ambapo Vitongoji, Vijiji na Kata vinatakiwa kuacha uuzaji/usimamizi wa maeneo bila kibali cha wahusika ,bila kumuona Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo ili kuepuka dhuluma na maumivu kwa wengine akisema kuwa waraka huo unaeleza kwa kina haki, wajibu na taratibu za kisheria za kumiliki ardhi, jambo litakalosaidia kupunguza migogoro ya aina hiyo katika jamii.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Wananchi wa Chalinze watakiwa kufuata Sheria na taratibu zilizowekwa ili kupata umiliki wa ardhi usioleta migogoro

    January 23, 2026
  • Chalinze yaendelea kutambua mchango wa Watumishi wake yagawa vyeti kwa walio hodari Kwa mwaka 2024-2025

    January 22, 2026
  • Mkuu wa wilaya ya Kibaha afungua mafunzo ya kuwajengea uwezo madiwani Chalinze na Kibaha

    January 15, 2026
  • Wazazi na Walezi wafurahia Zoezi la upokeaji na Uandikishaji wa Wanafunzi wa awali, Msingi na Sekondari.

    January 13, 2026
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.