• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Wananchi wahamasishwa kuwa na utaratibu wa kuwapa Maziwa Watoto katika kipindi chote cha ukuaji ili kuwasaidia kukukua vizuri kiakili na kuwa na afya njema

Imewekwa: December 3rd, 2025

Leo, Desemba 3, 2025, Afisa Mifugo na Mratibu wa Dawati la Maziwa, Agripina Silau, ametembelea vituo vya afya vya Bwilingu, Lugoba, Msata na Miono. Katika ziara yake amewashauri Wananchi kuhakikisha wanaweka utaratibu wa kuwapa watoto maziwa  ikiwa ni maziwa ya mama au maziwa ya ng’ombe na mbuzi  katika kipindi chote cha ukuaji wa mtoto, ili kuwasaidia kukua vizuri kimwili, kiakili na kuwa na afya njema.

Katika mazungumzo na baadhi ya Wagonjwa waliofika kwenye vituo hivyo vya afya, Agripina Silau amewataka wazazi na walezi kufuga Ng’ombe au Mbuzi ili waweze kuwa na maziwa ya kutosha na kuweza kuwapatia Watoto Nyumbani.

Aidha, Afisa Lishe wa Halmashauri ya Chalinze, Lucas Eliakim Mollel, amewashauri Wazazi kuhusu umuhimu wa unyonyeshaji na lishe sahihi za Watoto. Ameeleza kwamba Mtoto anapaswa kunyonyeshwa maziwa ya Mama pekee hadi Miezi ita, na kisha kuendelea kunyonyeshwa pamoja na kuanza kula lishe ya ziada.

Ikumbukwe kuwa maziwa hasa ya mama  ni muhimu kwa afya ya mtoto kwani hutoa virutubisho vyote muhimu katika miezi ya mwanzo, na pia husaidia ukuaji wa ubongo, mifupa, kinga ya mwili na ukuaji mzima wa mtoto “amesema afisa lishe”.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Sekretarieti ya maadili yawataka Viongozi kuzingatia maadili ili kuimarisha uadilifu.

    December 03, 2025
  • Wananchi wahamasishwa kuwa na utaratibu wa kuwapa Maziwa Watoto katika kipindi chote cha ukuaji ili kuwasaidia kukukua vizuri kiakili na kuwa na afya njema

    December 03, 2025
  • Sekretarieti ya maadili yatoa Elimu ya maadili katika kipindi cha “Gumzo leo” Chalinze fm 97.5

    December 01, 2025
  • Jamii imeaswa kuwa na mwitikio chanya katika kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na Ukimwi

    December 01, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.