• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Waratibu wa Afya ya mama na Mtoto waanza mafunzo ya kuratibu undeshaji wa huduma ya Saratani ya mlango wa Kizazi.

Imewekwa: August 1st, 2022

Waratibu wa Afya ya mama na Mtoto kutoka  Wilaya za Mkoa wa Pwani hii leo wameanza kikao maalum cha mafunzo ya kuratibu undeshaji wa huduma ya Saratani ya mlango wa Kizazi Katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

Akizungumza hii leo mratibu wa Kikao hiko Dkt. Safina Yuma kutoka Wizara ya Afya amesema kuwa lengo la Kikao hicho ni namna ya kuratibu uenndeshaji wa  huduma ya saratani ya mlango wa kizazi ambapo mara  nyingi pia huratibiwa kitaifa pamoja na kupanga mikakati kwa Mkoa wa Pwani na Vipaumbele katika kuzuia saratani ya mlango wa kizazi .

“Kikao hiki  ni cha kuratibu uendeshaji wa huduma za saratani ya mlango wa kizazi na huduma hii huratibiwa kitaifa kwa lengo la kuchunguza saratani kabla ya saratani haijawa saratani ndio maana siku za karibuni hapa nyuma kulikuwa na kongamano la Kitaifa la kisayansi linalohusu saratani  linaonesha kuwa Tanzania tunaongoza kwa  saratani na kuwa na vifo vingi vinavyoongozwa na wanawake na kwa  kukutana kwao kutasaidia kuweka mikakati kwa Mkoa wa Pwani ni vipi vipaumbele na chanagamoto katika kuzuia Saratani na hatimae kutoa Matokea ya mwaka kwa kila robo au mwisho wa Mwaka.”Amesema Dkt.Safina.

Hata hivyo amempongeza  Mkurugenzi Mtendaji wa Halamashauri ya Chalinze kwa kushiriki katika kikao hicho kwani itasaidia kufahamu vipaumbele vya kuzuia Saratani pamoja na kuandaa taarifa za tathimini kwenye vikao.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ndg.Ramadhani Possi  ambae pia ndiye alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kikao hicho cha Mafunzo amewakaribisha na kuwapongeza katika kufanya kikao cha mafunzo hayo muhimu ya Uendeshaji wa huduma ya saratani ya mlango wa kizazi.

“Kwanza niwaribishe katika Halmashauri yetu ya Chalinze lakini pia niwapongeze kwa mafunzo haya muhimu ya uendeshaji wa wa huduma ya saratani ya mlango wa kizazi kwa kina mama na nikushukuru Dkt.Safina kwa mafunzo haya na ninaomba mafunzo haya yawe endelevu kwani ni mafunzo muhimu sana.” Amesema Ndg.Possi.

Kikao hicho cha Mafunzo ya uendeshaji wa huduma ya saratani ya mlango wa kizazi ni cha siku mbili ambapo kimeanza leo tarehe 0 1/08/2022 mpaka 02/08/2022 na kimejumuisha waratibu wa afya ya mama na mtoto katika Mkoa na Wilaya zote za Mkoa wa Pwani pamoja na taasisi ya Thps.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.