• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Waziri Bashungwa awataka watumishi wa umma kuwa wazalendo katika kuwatumikia wananchi

Imewekwa: October 10th, 2024

Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amewataka watumishi kuweka uzalendo mbele kwa kuwatumikia wananchi kwa weledi wanapofika kwenye maeneo yao kupata huduma.


Bashungwa alitoa Rai hiyo jana alipokuwa akiweka jiwe la Msingi katka ujenzi wa nyumba za wakuu wa idara wa Halmashauri ya Chalinze ambapo alisema uwepo wa makazi hayo itumike kama motisha katika utendaji wao.


Alisema nyumba hizo zinatakiwa kuwa motisha kwao katika utendaji kazi kwa kujituma kwenye kutoa huduma kwa wananchi na kuepuka kuwa sababu ya kuchelewesha maendeleo kwenye maeneo yao.


Bashungwa aliipongeza Halmashauri ya Chalinze kwa kuwa na miradi ya kimkakati ukiwemo wa ujenzi wa nyumba za wakuu wa idara ambazo zinakwenda kuwa muarobaini wa kuwahi kazini na kufanya kazi kwa bidii.


Wakati huo huo alitoa maelekezo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi  Dk.Charles Msonde kufika katika Halmashauri hiyo akiwa na Wakala wa Majengo nchini (TBA) kuangalia muundo wa nyumba hizo na ubora wake.


Bashungwa alisema kupitia muundo huo TBA wanatakiwa kuangalia namna watakavyojipanga na Halmashauri na kujenga nyumba za watumishi kwa gharama nafuu ikiwezekana kuanzia katika Halmashauri ya Chalinze Ili uendelee kuwa ndani 


Mkuu  wa Divisheni ya miundombinu Halmashauri ya Chalinze Olais Sikoi alisema ujenzi wa nyumba sita ulianza Oktoba 2022 baada ya kutengewa sh. Milion 800 kutoka Serikali kuu katika mwaka wa fedha 2022/2023.


Sikoi alibainisha kwamba katika mwaka wa fedha 2023/2024 Halmashauri hiyo kwa mara nyingine ilipokea sh. Milioni 320 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba mbili za wakuu wa idara mradi ambao ulianza mwezi Machi mwaka huu na ulitarajiwa kukamilika mwezi Septemba.


Katika ziara yake kwenye Halmashauri hiyo Bashungwa mbali ya kuweka jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa nyumba za wakuu wa idara pia qmezindua soko la Bwilingu lililogharimu sh. Bilioni 1.7 na kuweka jiwe la Msingi katika shule ya Sekondari Jakaya Kikwete

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.