• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Waziri Jafo aelekeza maonyesho ya Biashara na Uwekezaji kufanyika Kitaifa Mkoani Pwani kila mwaka

Imewekwa: December 17th, 2024

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk Selemani Jafo amemuagiza  Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk. Hashil Abdallah kuhakikisha  maonyesho ya biashara na uwekezaji yanafanyika kitaifa  kila mwaka katika Mkoa wa Pwani.


Dk. Jafo ametoa agizo hilo leo alipokuwa akizindua maonyesho hayo ambayo yanafanyika kwa awamu ya nne katika Mkoa huo yakiwashirikisha wawekezaji mbalimbali wa Mkoa huo pamoja na wajasiriamali wadogo.


Waziri huyo alisema Mkoa wa Pwani umekuwa ukiandaa maonyesho ya biashara ya kiwango cha kitaifa ambayo yanawakutanisha wawekezaji wengi hivyo ni vema kuanzia 2025 maonyesho hayo yakafanyika kwa ngazi ya kitaifa kama yalivyo mengine ya biashara .


" Maonyesho haya kuanzia mwaka ujao yawe ya kitaifa na yasimamiwe na Wizara ya Viwanda na Biashara kama yalivyo mengine hili ni agizo kwa Katibu Mkuu wa Wizara," alisema.


Dkt.Jafo pia aliziagiza Taasisi wezeshi kutokuwa wakwamishaji kwa wawekezaji wanaotaka kuwekeza hapa nchini kwani wakizingatia utoaji huduma unaotakiwa watachangia kuvutia wawekezaji wengi.


Alisema Serikali inaendelea kutengeneza mazingira wezeshi kwa ajili ya kuvutia wawekezaji hivyo hategemei kuwe na vikwazo katika eneo hilo.


Waziri Dkt.Jafo pia aliwataka wazalishaji wa bidhaa kuzingatia ubora wa bidhaa ambazo zitakidhi kushindanishwa katika masoko ya ndani na nje ya nchi.


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge aliomba Shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania kuwajengea Bomba la gesi Ili kuwarahisishia wawekezaji wanaotaka kutumia gesi.


Kunenga alisema pamoja na kuwepo kwa maboresho katika sekta ya nishati ya umeme kwa kuongeza megawati lakini pia wapo wawekezaji wanahitaji nishati ya gesi viwandani.


Mkuu huyo wa Mkoa alisema kutokana na ongezeko la megawati kwa asilimia 19 limesabanisha wawekezaji kufanya shughuli zao za uzalishaji muda wote ukilinganisha na awali ambapo walikuwa wakizaliisha kwa siku tatu hadi nne kwa wiki.


Mkoa wa Pwani kwa sasa una viwanda 1533 kati ya hivyo viwanda vikubwa vilivyolengwa katika awamu ya sita ni 78 na kwamba bado yapo maeneo makubwa yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji yakiwa na miundombinu wezeshi inayotakiwa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.