• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Waziri Kikwete atoa Tuzo kwa shule za Msingi zilizofaulu vizuri mitihani ya Kitaifa Chalinze

Imewekwa: March 1st, 2025

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na wenye Ulemavu na Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete jana Februari 28,2025 amegawa Tuzo kwa Shule za Msingi zilizofanya vizuri katika matokeo ya Darasa la nne na la saba.


Akizungumza na Maafisa Elimu msingi kata, Walimu Wakuu pamoja na Viongozi wa Siasa waliohudhuria hafla hiyo iliyo fanyika katika ukumbi wa shule ya Sekondari ya  Lugoba Mhe Ridhiwani ametoa wito kwa Wakuu wa Shule zote za Msingi zilizopo  Halmashauri ya Chalinze kuongeza jitihaada za kufundisha ili kuongeza ufaulu katika mitihani hasa ya Kitaifa ili kuwa katika nafasi nzuri kitaaluma.


Aidha Mhe kikwete amempongeza Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Chalinze Bwana Ramadhani Possi kwa kushirikiana na Madiwani katika utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa Madarasa kwa kukamilisha na kukabidhi kwa wakati huku akitoa mfano wa shule shikizi ya Ridhiwani Jakaya Kikwete iliyopo Kata ya Bwilingu.


Akizitaja baadhi ya njia zilizo saidia kuongezeka kwa ufaulu Mkurugenzi Mtendaji Bwana Ramadhani Possi amesema ni pamoja na  juhudi za maafisa elimu na Walimu kuongeza mbinu za ufundishaji kwa vitendo hali inayo saidia  wanafunzi kufanya vizuri kwenye mitihani yao.


Kadhalika Afisa Elimu Awali na Msingi Bi Miriam Kihiyo pia ametoa pongezi za kuongezaka kwa  ufaulu .Sanjari na hayo amezitaja changamoto za baadhi ya wazazi wanao wasababishia watoto  wao utoro kwa kutowapa mahitaji muhimu kama kuwalipia chakula ili waweze kupata mlo wa mchana wakiwa Shuleni,mavazi pamoja na mahitaji mengine ya mwanafunzi.Pamoja na hayo  amesema kuwa  kuna baadhi ya wazazi  wanawashawishi watoto wao wasifanye vizuri kwenye mitihani mikubwa hasa ya Kitaifa.


Hafla hiyo imejumuisha ugawaji wa Tuzo pamoja na Fedha Taslimu kwa shule tatu bora za Serikali  Shule ya Msingi Kinzagu ilishika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na shule ya msingi Pingo huku nafasi ya tatu ikishikwa na shule ya msingi Saleni.Vile vile kwa Shule za binafsi ambazo zilipata Tuzo hizo ni pamoja na shule ya msingi ya Mtakatifu Alphonsa, Shule ya Msingi Apostle na Shule ya Honest zinazopatikana Kata ya Bwilingu.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Chalinze yapongezwa kwa Hati Safi Mfululizo miaka mitano

    June 18, 2025
  • Mwenyekiti wa UWT akagua miradi ya maendeleo Chalinze

    June 13, 2025
  • Madiwani wa Pangani waipongeza Chalinze kwa Miradi ya mapato ya ndani

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.