• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU apongeza ujenzi asema umekamilika Kwa ufanisi.

Imewekwa: January 25th, 2026



Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, amesema ujenzi wa jengo la Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Chalinze umekamilika kwa ufanisi licha ya changamoto zilizojitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi huo.

Akizungumza leo Januari 24, 2026 katika hafla ya uzinduzi wa jengo hilo iliyohudhuriwa na mgeni rasmi Waziri Ofisi ya Rais,menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Ridhiwani Kikwete.Aidha Bw. Chalamila amesema mradi huo uliongezewa muda wa utekelezaji kwa takribani miezi miwili kutokana na ucheleweshaji wa upatikanaji wa vifaa vya ujenzi kutoka nje ya mji na gharama kubwa za usafirishaji kutoka Dar es Salaam.Pia amesema kuwa changamoto hizo zilitatuliwa kwa kununua vifaa kwa pamoja ili kupunguza gharama na kuokoa muda.

Aidha amesema bajeti ya awali ya mradi ilikuwa shilingi bilioni  14,95,9961  huku hadi kukamilika kwake zilitumika shilingi 46,655,971.5,na  kiasi kilichobaki kikiwa ni takribani shilingi milioni 8.2. Pia alibainisha kuwa hali hiyo ni ushahidi wa uadilifu na usimamizi mzuri wa fedha za umma.“mheshimiwa mgeni rasmi ofisi ilijengwa milioni 414 lakini tumekamilisha mradi huu kwa shilingi ..46 maana yake kuna chenchi imebaki” alisema Chalamila

Vile vile Bw. Chalamila amesema  kuwa mradi huo ulisimamiwa na watumishi wa TAKUKURU wenye weledi, maarifa na taaluma ya ujenzi, hali iliyochangia kupungua kwa gharama na kuhakikisha thamani ya fedha inalindwa.Pia aliongeza kuwa jengo hilo lina mazingira bora ya kazi, faragha ya kutosha na litawawezesha wananchi kutoa taarifa za vitendo vya rushwa bila hofu.

Ujenzi wataasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa ilitengewa bilioni 4.5 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maendeleo aidha kati ya fedha shilingi milioni 414 65, 961  ilitengwa na kutumika kwa ajili ya ujenzi wa jengo la ofisi ya takukuru chalinze utengenezaji wa mradi ya umma na miongozo mbalimbali kutoka mamlaka ya kudhibiti ununuzi wa umma yaani tra

Aidha, aliwahimiza viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kuendelea kutoa taarifa za vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa TAKUKURU ipo tayari kuchukua hatua za haraka dhidi ya vitendo hivyo.

Mwisho, alimshukuru mgeni rasmi  kwa ushirikiano wao katika utekelezaji wa mradi huo kuwa mafanikio ya TAKUKURU katika mapambano dhidi ya rushwa yanategemea ushirikiano wa


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU apongeza ujenzi asema umekamilika Kwa ufanisi mkubwa

    January 25, 2026
  • Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU apongeza ujenzi asema umekamilika Kwa ufanisi.

    January 25, 2026
  • Waziri Ridhiwani Kikwete akabidhi vifaa vya kielektroniki Kwa Walimu wenye mahitaji Maalum Chalinze

    January 25, 2026
  • Waziri Ridhiwani kikwete azindua jengo la TAKUKURU chalinze aipongeza serikali

    January 25, 2026
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.