• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Waziri TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu aipongeza Halmashauri ya Chalinze.

Imewekwa: September 25th, 2021

Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa kusimamia vyema miradi mbaliombali inayoendelea kutekelezwa na iliyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

Mheshimiwa Waziri ameyasema hayo leo kwenye ziara yake katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze  alipokwenda kuweka jiwe la msingi katika soko kuu la Bwilingu-Chalinze, ambapo alisema,

“ Ninawapongeza na nafurahishwa sana Halamshauri ya Wilaya ya Chalinze, pongezi kwa mwenyekiti wa Halmashauri, Mbunge, Mkurugenzi Mtendaji na Watendaji kwa kusimamia vyema fedha za miradi iliyopo Chalinze kwani miradi mingi imekidhi thamani na licha ya Milioni 700 ambazo zimejenga soko hili na ujenzi wa ofisi za makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze ambao uligharimu Bilioni 1.1 pia kama ilivyoelezwa na mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo kuwa Halmashauri imenunua taa 80 ambazo zimewekwa katika maeneo ya Chalinze ambapo miradi yote hiyo inagharamiwa na fedha za ndani”. Alisema Mhe. Ummy Mwalimu.

Aidha Mheshimiwa Waziri amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ndg. Ramadhan Possi kwa kufanya kazi vyema kwa kushirikiana na watendaji Mbunge na madiwani katika kuleta maendeleo Chalinze.

“ Ujumbe huu uwafikie wakurungenzi wote nchini Tanzania kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze sambamba na milioni 700 zilizowekwa kenye soko hili pia Halmashauri imekusudia  kutumia  milioni 523 kwaajili ya kujenga kituo cha mabasi Chalinze, na kwenye hili nimpongeze Ndg Ramadhani Possi kwa kufanya kazi nzuri hapa Chalinze kwa utendaji wake na ushirikiano kwa Mbunge, watendaji na madiwani”. Aliongeza

Vile vile Mhe . Ummy Mwalimu alimalizia kwa kuwaasa Wakurugenzi Watendaji wengine nchini kujifunza kazi kubwa na nzuri ambayo inafanywa na Halmashauri ya Chalinze.

“Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI ilileta Bilioni 1 katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze  kwaajili ya ujenzi wa majengo matatu ila kwasababau ya ubunifu na uchapakazi walijenga majengo 5 hivyo Niwaombe wakurungenzi Watendaji nchini waje wajifunze kazi kubwa na nzuri ambyo inafanywa lakini pia wajifunze ushirikiano uliopo Halmashauri ya Chalinze” kujifunza katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

Ziara hiyo ya Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI imelenga kutembelea sehemu mbalimbali za miradi , kuweka jiwe la msingi katika soko jipya la Bwilingi-Chalinze na kusikiliza kero za wananchi ili kuzipatia ufumbuzi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.