• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi azindua Clinic ya Ardhi Bagamoyo

Imewekwa: September 25th, 2023

Waziri Ardhi Nyumba Maendeleo ya Makazi Mhe Jerry Silaa amezindua Rasmi Kampeni ya Bagamoyo Ardhi clinic Katika viwanja vya Shule ya Msingi Mtambani Halmashauri ya Bagamoyo na kusikiliza Changamoto zinazowakabili Wananchi wa Kata ya Mapinga Kwenye suala la Migogoro ya Ardhi.


Mhe waziri amezindua Kampeni hiyo tarehe 23 Septemba 2023 Wilayani Bagamoyo na kutoa wito Kwa Maafisa Ardhi pamoja na Wananchi Kuendelea kupewa elimu,ya Maswala ya Ardhi namna ya kumilki Ardhi,kununua Ardhi pamoja na umuhimu wa Kufuata sheria za kumiliki Ardhi.


Mhe waziri Wa Ardhi Nyumba Maendeleo ya Makazi amezungumzia Kuhusu kamati ya Mawakili wasio fanya kazi nakupeleka Malalamiko kwa kamati husika ambayo Mwenyekiti wake ni Mkuu wa Mkoa wachukuliwe hatua huku akiwataka Viongozi wa Serikali kuhakikisha wanasimamia haki za Wananchi wao. 


Wakili Silaa amewaomba watanzania kuhakikisha wanasimamia haki zao kwa kufuata Sheria na taratibu za kimahakama ili kuweza kupata haki yako kwa njia ya sheria lengo ni kuhakikisha Wananchi wote wanapata haki kupitia njia ya sheria kwani hakuna mtu alie juu ya sheria.

Amewataka pia Wananchi wote kuheshimu sheria za Ardhi ambazo zimetungwa na wawakilishi wa wananchi na wale wote walio ingia kwenye eneo la Razaba watoke na kuacha maeneo hayo kwani wamilimi wa maeneo hayo wapo kisheria na wana hati


 Waziri ametwaka Maafisa ardhi kuheshimu michoro iliyopo ya Mipango miji kwenye Maeneo ya Umma ili kuepusha Matatizo madogomadogo yanayojitokeza pia amewataka watendaji hao kujiepusha na migogoro ya uuzaji wa viwanja mara mbili kwa watu wawili tofauti huku akibainisha kwa atakae husika hatua za kisheria na kinizamu zitachukuliwa dhidi yake

Pia amewapongeza maafisa ardhi wilaya ya Bagamoyo Kwa kufanya kazi zao wa weledi mzuri kwa kutokuwepo katika Migogoro iliyoorodheshwa na Wananchi wakati wa Mikutano wa Uzinduzi wa Bagamoyo Ardhi clinic Katika viwanja vya Shule ya Msingi Mtambani..

Pia ametoa wito kwa wakuu wa Wilaya nchi nzima kuanzisha clinic ya Migogoro ya Ardhi kwa wale wenye maeneo yenye Migogoro ya Ardhi ili Wananchi wapate elimu na kutatuliwa changamoto za Migogoro hiyo ya Ardhi.


Sanjari na maelekezo hayo ameipongeza Halmashauri za Wilaya za Bagamoyo na Chalinze kwa kutumia Fedha za mapato ya ndani ili kupanga matumizi bora ya Ardhi na kutoa wito kwa Halmashauri zote walio pata pesa Kwa ajili ya Kupanga Matumizi bora ya Ardhi kufanya haraka na kuanza kuuza viwanja hivyo ili kuweza kurudisha pesa kwa Wakati,

amempongeza Mhe Mkuu wa Mkoa pwani kwa kutekeleza maagizo ya Baraza la mawaziri kwa vitendo pamoja na kumpongeza kwa kuhakikisha mkoa wa Pwani kuendelea kuwa na viwanda vingi na kusisitiza maelekezo ya Eneo la Razaba yafanyiwe kazi na Wananchi kuondoka katika eneo hilo..

Pia amewaomba Wananchi wote kuwa hakuna maeneo ambayo yanaitwa shamba pori kwani maeneo hayo yanamilikiwa na wamiliki halali na kuacha kuvamia maeneo hayo pia na kuwataka Maafisa ardhi kutoa maelekezo kwa wamiliki wa maeneo kuyaendeleza maeneo hayo..

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.