• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Waziri wa Maji Mhe. Aweso afanya Ziara Kutembelea Mradi wa Maji Chalinze

Imewekwa: November 6th, 2021

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze siku ya leo Jumamosi ikiwa ina lengo la kukagua miradi ya maji na kuwasha mitambo ya maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira  DAWASA na kuongea na wananchi wa Halmashauri ya Chalinze.

Akizungumza kwenye ziara hiyo Mhe. Jumaa Aweso amemshukuru Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa suluhu la matatizo ya Watanzania kwa kuondoa changamoto ya Maji Chalinze na Tanzania kwa Ujumla.

“Napenda kumshukuru Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa suluhu ya matatizo ya Watanzania kwa kutumia fedha za ndani na ndio maana hii leo nimekuja kuwasha mtambo wa maji Chalinze ili wananchi waweze kupata huduma ya maji safi na salama” Alisema Mhe. Aweso

Aidha alitoa shukrani kwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete kwa utendaji wake na ufuatiliaji wa mradi huo vilevile kuufahamu vyema mpaka kukamilika kwa asilimia kubwa  na pia  Mhe. Aweso aliutaka uongozi wa DAWASA kufanya kazi yao ya kutoa huduma ya maji kwa weredi na kutokuchukua muda mrefu pindi wananchi watahitaji huduma ya kuunganishiwa maji.

Nae Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe.Abubakar Kunenge alimshukuru Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso kwa ujio wake katika mradi huo wa maji Chalinze Mkoa wa Pwani.

“ Nikushukuru na nikupongeze kwa ujio wako katika mradi wetu wa maji Mkoa wa Pwani kwani mradi huu utaondoa changamoto na malalamiko ya mahitaji ya maji.mkoani kwetu hii itatusaidia katika Mkoa  wetu wa Pwani kwani ni Mkoa wa kimkakati kwa upande wa viwanda na viwanda vinahitaji maji”. Alisema Mhe.Kunenge

Vilevile Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete ameridhishwa na kufurahishwa na ukamilishwaji wa mradi huo wa maji wa Mlamdizi-Chalinze.

“Leo hii nimeridhishwa na nimefurahi kwa hatua hii ya kukamilika kwa mradi huu wa Maji Chalinze kwa wakati  na leo hii Maji yanaanza kuingia kwenye tenki letu na hiyo yote ni kutokana na usimamizi na ufuatiliaji wa miradi mikakati unaofanywa na Serikali sikivu ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan”. Alisema Mhe. Ridhiwani

Ziara hiyo ya Waziri wa Maji ilifanyika katika kata ya Pera kijiji cha Chamakweza,,Bwilingu na Msoga.



Mh.  Jumaa Aweso akipokea maelekezo kutoka kwa Mafundi wa Ujenzi wa MIundombini ya Maji


Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Chalinze wakifuatilia Maelekezo ya Waziri wa Maji Mh Aweso

 kwa DAWASA wakati alipokuwa akizungumza na wananchi katika viwanja vya soko la Chalinze

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh: Ridhiwani Kikwete, na Diwani Kata ya Bwilingu Mh. Nassar Karama

wakiteta jambo na Mh: Jumaa Aweso(Waziri wa Maji,



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Madiwani wa Pangani waipongeza Chalinze kwa Miradi ya mapato ya ndani

    June 11, 2025
  • DC Ndemanga Aongoza Kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe

    June 10, 2025
  • Mkutano Mkuu wa Kijiji cha Tukamisasa waazimia Mwenyekiti Kupisha Uchunguzi

    June 10, 2025
  • Waziri Kikwete atua Geneva kushiriki Mkutano wa 113 wa Shirika la kazi Duniani

    June 04, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.