• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Ziara ya Msemaji Mkuu wa Serikali Dk.Hassan Abbas.

Imewekwa: September 20th, 2019

Mkurugenzi wa idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe.Dkt. Hassan Abbasi, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa kuweka mipango ya kuanzisha kituo cha radio ya Halmashauri ili kuweza kuelimisha jamii na kutoa habari zote za maendeleo ndani na nje ya Halmashauri ili ziweze kuwafikia wananchi kikamilifu na kwa muda sahihi.

‘’Naipongeza sana Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze  kupitia Mkurugenzi Mtendaji Bi.Amina Kiwanuka na Afisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Halmashauri Ndugu.John Mlyambate kwa kujitahidi kutoa taarifa kwa wananchi na pia pongezi kwenu kwa kuliona suala la kuanzisha kituo cha redio ndani ya Halmashauri.’’Alisema Dkt Hassan Abbasi.  

Vilevile Dkt Abbasi amewaomba na kuwaagiza wakuu wa vitengo mbalimbali katika Halmashauri yaWilaya ya Chalinze kushirikiana vyema na Afisa Habari, Uhusiano na Mawasilianowa Halmashauri kwa kumpatia taarifa mbalimbali za maendeleo ili ziweze kuwafikia wananchi kwa usahihi na kwa wakati.  

Hata hivyo Dkt Abbasi hakuacha kuhimiza maagizo na maelezo yote yaliyotolewa na Mhe. Kassim Majaliwa , Waziri Mkuu wa Tanzania katika Kikao cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano serikalini, kilichofanyika Machi 18,2019 katika ukumbi wa Benki kuu jijini Mwanza kwa kusema..

‘’Nawakumbusha na nawahimiza viongozi na watendaji wote wa taasisi za umma mfuate maelekezo yote yaliyotolewa na Mh. Waziri Mkuu, malekezo hayo ni kama vile, Ushirikiano baina ya viongozi,watendaji wa Umma na maafisa Habari, Uzinduzi wa tovuti za Halmashauri  kwa lengo la kuiongezea serikali uwezo wa kuwapatia wananchi habari, Kubainisha vikwazo vya kimuundo, kisera au kisheria na kuziwasilisha serikalini kwa lengo la kuongeza ufanisi wa kada hii na pia kila Wizara, Mikoa,Halmashauri na Taasisi zote ziweke kipaumbele katika kuvinunulia vitengo vya Habari vifaa muhimu kwaajili ya habari kama vile Kamera, Kompyuta na Simu ili maafisa habari watekeleze wajibu wao ipasavyo.’’

Ameyasema hayo wakati alipokwenda kuitembelea Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze hivi karibuni ikiwa ni kwa lengo la kujionea juhudi za maendeleo ya kitengo cha Habari, Uhusiano na Mawasiliano katika Halmashauri hiyo.

Ikumbukwe kuwa hata Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inataka umma uhabarishwe kama ilivyo katika Ibara ya 18(d), kwa kufanya hivyo ni kutekeleza sheria iliyopitishwa tarehe 1 September 2016 ambayo ni sheria ya haki ya kupata taarifa (Access to Information Act of 2016).



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.