• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

ZIARA YA UKAGUZI ENEO LA MRADI WA VIWANJA MSOLWA

Imewekwa: February 11th, 2022

Mwenyekiti Kamati ya Fedha na timu ya wakuu wa idara Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze wamefanya ziara ya ukaguzi kwenye eneo lililotengwa kwaajili ya mradi wa viwanja vitakavyopimwa kwaajili ya mipango miji ilillopo katika kijiji cha Msolwa.

Katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe. Hassan Rajab Mwinyikondo amezungumza na waandishi wa habari kuwa lengo la kufanya ziara iyo ni kukagua na kuhakiki mradi huo wa viwanja ili kuepuka matapeli.

“Kwanza nimshukuru Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha hizi za mradi huu kwani ametujali na ametuthamini sana na hii leo tumekuja kuhakiki viwanja japokuwa wataalamu wetu wamefanya ila na sisi tunataka tujiridhishe ili kuhakikisha mradi huu hautokuwa na hujuma yeyote”. Amesema Mhe. Mwinyikondo.

Vilevile Mheshimiwwa Mwenyekiti ameongeza kwa kuwasihi wananchi pamoja na wataalamu kuepukana na udanganyifu pamoja na matapeli katika mradi huo

“Niwasihi wananchi kuepukana na vishoka na udanganyifu katika mali na haji zao na hivyohivyo kwa wataalamu kufuata sharia na taratibu katika kutwaa ardhi na kujiepusha na udanganyifu kwani itakaponainika kuna udanganyifu sheria itachukua mkondo wake”. Amesema Mhe Mwinyikondo

Aidha Kaimu Mkuu wa Idara ya Ardhi Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ndg. Mussa Kichumu ameelezea mapokeo ya mradi huo na jumla ya ekari ambazo zimeandaliwa akutumika pamoja na gharama zake kwa ujumla ambapo amesema

“Mradi huu upo katika kijiji cha Msolwa kata ya Bwilingu na umepokelewa vizuri na wananchi na vilevile katika mradi huu tunarajia kutwaa eneo kiasi cha ekari 373 ambazo zitagharimu fidia kiasi cha shilingi Bilioni 1.6 na lengo la mradi huu ni kuufanya mji wa Chalinze kuonekana katika sura ya mipango miji na kwa hili tunaishukuru Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kwa kutupatia fedha za mkopo usio na riba kiasi cha Shilingi Bilioni 2.5 na kiukweli fedha hizi zitatusaidia sana kuhakikisha eneo hili linapangwa na linatoa viwanja kwaajili ya huduma mbalimbali za kijamii.” Amesema Ndg. Kichumu.

Ikumbukwe kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze ni moja kati ya Halmashauri 55 nchini zilizonufaika na mradi huu wa kupanga ,kupima na kumilikisha Ardhi  nchini wenye thamani ya Bilioni 50.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.