• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Zikatimu amekemea tabia ya Kutotumia fedha za miradi kwa wakati

Imewekwa: March 9th, 2019

Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Chalinze,Mheshimiwa Saidi Zikatimu amekemea kitendo cha Fedha za miradi kutofanya kazi na kukaa kwenye akaunti za vijiji au Kata kwa muda mrefu pasipo kutumika katika miradi ya maendeleo iliyopangwa  kwa wakati,Mwenyekiti ameyabaini hayo katika ziara anayoendelea nayo katika Kata zote za halmashauri na amebaini dosari hiyo katika ujenzi wa nyumba ya mganga katika zahanati ya Buyuni Kata ya Vigwaza ambayo ilipata fedha za kukamilisha ujenzi miezi mitano iliyopita lakini mpaka sasa ujenzi unasuasua.“halmashauri imetoa milioni 10 kwa ajili ya ukamilishaji nyumba ya mganga tangu mwezi wa kumi mwaka jana hazijatumika bado."Zikatimu alieleza.

     Zikatimu katika hotuba yake katika kijiji cha Buyuni alitoa agizo kwa viongozi na watendaji wa vijiji na Kata kukaa vikao vya uidhinishaji fedha za miradi kwa wakati na ujenzi wa miradi utekelezeke kwa wakati.

      Kwa upande wake Mwenyekiti wa kijiji cha Buyuni Bwana Rajabu Saididi aliahidi kukamilisha ujenzi wa nyumba ya mganga wa zahanati ndani ya siku 14 na kuanza kutumika .


Naye Diwani wa kata ya Vigwaza Mhe Mohsin Bharwani aliupongeza uongozi wa halmashauri kwa ujenzi wa zahanati na nyumba ya mganga na kwa kupata watumishi wa afya wanaoendelea kufanya kazi ya kutoa huduma kwa wananchi,na akatoa ahadi yake kwa Mwenyekiti wa halmashauri kutoa ushirikiano wa hali ya juu katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa Fedha inayoletwa na halmashauri kwa Kata ya Vigwaza."nakupongeza Mwenyekiti wangu wa halmashauri kwa kufika Buyuni na kutoa miongozo ya utekelezaji,asante kwa taarifa na kunitembelea katika Kata yangu naomba uendelee na Utamaduni huo kwani nina furaha kuwa na Mwenyekiti Zikatimu ".Barwani alisema.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Dkt Kikwete ahakiki taarifa zake Daftari la kudumu la mpiga kura Msoga

    May 16, 2025
  • Chalinze yatoa mafunzo ya wagawa Dawa za Kinga tiba dhidi ya mabusha na matende

    May 16, 2025
  • Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Chalinze Afungua mafunzo ya waandikishaji

    May 15, 2025
  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.