Vifuatavyo ni baadhi ya viwanda vikubwa vilivyopo Halmashauri ya Chalinze, jumla halmashauri ya Chalinze ina idadi ya viwanda 31:-
Kiwanda cha Kusindika matunda, (Sayona Fruits) kilichopo Kijiji cha Mboga - Chalinze - Bagamoyo. Mwekezaji ni Makampuni ya MMI (Motisun Group) ambayo yatawekeza jumla ya Dola za Kimarekani milioni 55. Kiwanda kinaendelea kujengwa na kitakamilika Oktoba, 2017.
Kiwanda cha Saruji itakayojulikana kama “Mamba Cement” kilichopo Kijiji cha Talawanda na Magulumatali- Bagamoyo. Mwekezaji ni Makampuni ya MMI (Motisun Group). Nao pia kibali cha ujenzi kimepatikana na ujenzi uko mbioni kuanza.
Kiwanda cha Vigae (Tiles) cha Kampuni ya TWYFORD (Tanzania Ceramic Tiles Factory) kutoka China kinachojengwa eneo la Pingo katika Halmashauri ya Chalinze, Bagamoyo. Kitatengeneza ajira za moja kwa moja (direct) 2,000 na ajira nyingine 4,000 ambazo siyo za moja kwa moja (indirect
Lugoba Chalinze
Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze
Simu: +255232935403
Simu ya mkononi:
Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz
Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.