• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Elimu msingi
      • Elimu secondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Maji na umwagiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Vijana
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Miaka 42 ya CCM yaadhimishwa kwa kufanya usafi Chalinze

Imewekwa: February 2nd, 2019



Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Bagamoyo kimeadhimisha miaka 42 ya siku ya kuzaliwa kwa chama hicho kiwilaya katika kata ya Pera kijiji cha Pingo katika Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa kufanya usafi katika eneo la Ujenzi wa shule ya sekondari ya Pera inayojengwa kwa nguvu za wananchi na kituo cha afya cha Pingo.


Maadhimisho hayo yamepambwa na wananchi,vikundi mbalimbali vya sanaa na wanachama wa chama cha Mapinduzi kutoka Halmashauri Zote mbili wilayani Bagamoyo na Vijana wa chama cha Mapinduzi ambao waliandamana kutoka eneo la Ujenzi wa shule ya sekondari ya Pera hadi eneo la mkutano katika viwanja vya kijiji cha Pingo, maandamano hayo yaliyoongozwa na Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bagamoyo Bwana John Francis Masenga na kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bagamoyo Bwana Sheriff Zahoro.


Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bagamoyo katika hotuba yake aliyasema mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kitaifa lakini pia katika ngazi ya wilaya kwa kuyasema mafanikio yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya Chama cha Mapinduzi katika nyanja mbalimbali za maisha hususan katika sekta za Elimu, Afya na utoaji huduma kwa wananchi Kwani watumishi wa serikali wamekuwa waadilifu na wanatoa huduma kwa wananchi kwa wakati.


Aidha aliwashukuru madiwani, wabunge na Mkuu wa wilaya kwa usimamizi na utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi  na Mwisho aliwataka wananchi kuendelea kuiunga Mkono serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais wetu makini Dkt John Pombe Magufuli.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE CSEE 2018 January 24, 2019
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA PWANI December 18, 2018
  • TANGAZO LA KUSITISHWA KWA UHAMISHO August 31, 2018
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Tumieni Takukuru na Tume ya Maadili katika vikao vya Madiwani-Mwanjelwa

    February 23, 2019
  • Bilioni 50.6 kuidhinishwa na Baraza la Madiwani Chalinze

    February 19, 2019
  • Baraza la wafanyakazi limeridhia Mapendekezo ya Bajeti Chalinze

    February 11, 2019
  • Miaka 42 ya CCM yaadhimishwa kwa kufanya usafi Chalinze

    February 02, 2019
  • Tazama zote

Video

Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akihimiza ukusanyaji Mapato kwenye mamlaka za serikali za Mitaa
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • Mfumo wa Bajeti
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2015/2016
  • WAZO LA WAZIRI
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • JINSI YA KUJISAJILI NA KUPATA NAMBA YA MLIPA KODI (TIN NAMBA)

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter
World Visitors Track

Wasiliana nasi

    Lugoba Chalinze

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +25523233456

    Simu ya mkononi: +255757462012

    Barua pepe : ded.chalinze@pwani.go.tz

Anwani Nyingine

   

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.