• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Vivutio vya Kitalii

Ukweli  kuhusu hifadhi  ya Taifa  ya Saadani:

Ukweli namba moja ni kuwa Saadani ni Hifadhi ya Taifa inayopatikana katika Halmashauri ya Chalinze na ni Hifadhi iliyoko karibu kabisa na Jiji la Dar es Salaam takribani ni Umbali wa Km 130 tu. Hifadhi hii iko mkabala na Mji Mkongwe wa Zanzibar.

 
Hifadhi ya Taifa  pekee  nchini  Tanzania  na  Afrika  ya Mashariki yenye  fukwe za bahari  na inayotazamana na Bahari  ya Hindi.  Ni  hifadhi pekee  ambapo  fukwe za bahari  zake  zinakutana  na uoto wa asili  wa nchi kavu. 

          Uwepo wa hifadhi  ya Taifa  ya Saadani  ni  matokeo  ya pori  la akiba  la Saadani,  ranchi ya  mkwaja  na sehemu ya Kaskazini ya mkwaja  sambamba na  akiba  ya msitu wa asili wa Zaraninge. Hifadhi  hii inapatikana baina ya  Mkoa wa Tanga na Pwani.

MAANDALIZI YA USAFIRI:
Ni pamoja  na kufahamu  gharama za jumla  za  safari  yenu  ya  matembezi  hifadhini  Saadani.

          Ufahamu  wa maandalizi  haya  yazingatie  mambo  muhimu  ya Kimsingi  kama vile  Usafiri, Sehemu za huduma za chakula, malazi au kulala na  mengineyo yatakayojitokeza .
Baada ya  haya  yote  kutekelezwa  kwa  ukamilifu na umakini  mkubwa  kitakachofuatilia  ni mpango  mkakati  wa fedha  za maandalizi  zilizopatikana. Mwisho  kabisa  ni  bajeti  ya fedha  za maandalizi  kuandaliwa  jinsi  zilivyopangiliwa.

KUANZISHWA KWAKE:
Ilianzishwa  mwaka 2005. Tangu  miaka  ya 1960,  eneo hili  la Saadani  ilikuwa  ni moja  ya maeneo  ya pori la  akiba la wanyamapori.

ENEO LAKE:
Ukubwa wa eneo la hifadhi  ya Taifa  ya Saadani  ni  ukubwa  wa eneo  la kilomita  za mraba  1,178. Nchi  kavu  inachukua  ukubwa  wa kilomita  za mraba  1,148 na  kilomita  za mraba  30  ni eneo  la maji  ya bahari  ya hindi. 

UFIKAJI HIFADHINI; 
Hifadhi  ya Taifa ya Saadani  inafikika  umbali  wa kilomita  50  kutoka  visiwa vya Zanzibari  na inachukua saa 3  kwa  njia ya usafiri wa majini wa kutumia  ngalawa  na  vile vile  ni  dakika  takribani  50 kwa njia  ya usafiri wa majini  wa  kutumia  boti. Vile vile  ni sawa  na kilomita   45  kutoka  mji  wa kihistoria  wa Bagamoyo.( dakika 40) na Dar es salaam ni  kilomita 100.

MAUMBILE  ASILIA  YA KIJIOGRAFIA HIFADHINI:  
Tambarare  za pwani,  vilima vidogo vidogo, mlima  kiono unaohifadhi  msitu wa asili wa zaraninge  kwa upande  wa kusini  Magharibi.

          Upande wa Kaskazini wa Mkwaja  una mandhari nzuri  yenye  kupendeza  ya makazi  ya vilima  vya hapa na pale. Kwa  upande wa kusini  ni Bonde  la mto  Wami.

HALI YA  HEWA  USAWA WA BAHARI  HIFADHINI:
Inaanzia  0 mpaka  350  kutoka  usawa wa bahari. 

VIVUTIO  VIKUU VYA  UTALII HIFADHINI:
Fukwe  na Bahari, kasa  wenye  viota  vya  mayai  ardhini katika eneo la  madete. Vile vile  mto  wami  una  aina  mbalimbali  za wanyamapori na ndege,  mikoko pamoja na maji  ya bahari  yanayokutana  na mto  (Estuaries). 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Chalinze yapongezwa kwa Hati Safi Mfululizo miaka mitano

    June 18, 2025
  • Mwenyekiti wa UWT akagua miradi ya maendeleo Chalinze

    June 13, 2025
  • Madiwani wa Pangani waipongeza Chalinze kwa Miradi ya mapato ya ndani

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.