• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC Okash awataka Vijana kuacha tabia ya kukimbia kazi wanapopata malipo

Imewekwa: April 9th, 2024

MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo Halima Okash  amesema vijana wa Wilaya hiyo wanatakiwa kubadilika wanapopata ajira kwa kuachana tabia ya kukimbia kazi baada ya malipo na kurejea pindi fedha zinapoisha.


Alisema kwa kufanya hivyo imekuwa ni kikwazo kwa wamiliki wa viwanda ambao wanalenga kupata faida katika uzalishaji wa bidhaa zao kwenye viwanda.

.

"Tuna Changamoto ya vijana wetu kwenye sekta ya viwanda wanasubiri muda wakishapewa malipo huwa wanaondoka pale mshahara unapokatika tena ndio wanarudi kufanya kazi hii haileti picha nzuri kwa wawekezaji ambao Wana malengo yao katika uzalishaji," alisema.


Okash ambaye aliyasema hayo  juzi Mjini Bagamoyo wakati anawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) alisema wawekezaji hao wanajiendesha wapate faida hivyo vitendo vya vijana hao vinapinguza uaminifu wa wengine kunufaija na ajira.


"Ukishapewa mshahara huonekani kazini wiki mbili hadi  tatu ni malalamiko makubwa kutoka viwandani na mimi mwenyewe nimeshuhudia nimeshaita vijana na kuzungumza nao wanatakiwa kubadilika kama tunataka ajira" alisisitiza Okash.


Akizungumzia suala la ajira Mkuu huyo wa Wilaya alisema miezi mitatu iliyopita alikaa na Viongozi mbalimbali wa viwanda na kujadiliana ni namna gani ya kuweza kuongeza ajira rasmi na zisizo rasmi kwenye maeneo yao.


"Kwasasa tubasubiri watakapoanza mchakato huo watatupatia taarifa na tayari tumeanza na kata ya Lugoba ambayo tumepeleka majina ya vijana wananchi waweze kujitokeza wa maeneo hayo na karibu ya kwa ajili ya kwenda kufanyiwa usajili muda utakapofika," alisema.


Poa alisema  ajira zinazotolewa zinazingatia viigezo kama hauna vigezo huwezi kumlazimisha mwajiri uajiriwe kwahiyo kwenye hilo lazima watu watu waelewe.


Akielezea utekelezaji wa Ilani Okash alisema katika kipindi cha miezi sita Wilaya hiyo imepokea zaidi ya sh. 11 Biln kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Chalinze na Bagamoyo..


Okash alisema fedha hizo ni kutoka  Serikali Kuu, Halmashauri ( Mapato ya ndani) na Wadau/ Wahisani mbalimbali ambao wamewezesha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwemo sekta ya elimu, afya, maji, kilimo na Mifugo, nishati na barabara.


Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bagamoyo AbdulSharifu Zahoro aliwataka wanachama kijiandaa katika chaguzi zijazo kwa kuwa na wawakilishi Bora watakaopepetusha bendera ya chama hicho..


Pia akiwasisitiza Madiwani na Viongozi wa Chama hicho kufuatilia miradi inayotekelezwa kwenye maeneo yao sambamba na kutoa taarifa pale wanapobaini kuwa na hitilafu Ili zirekebishwe mapema.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.