• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akabidhi viti na meza 390 ilikukabiliana na upungufu uliopo katika Shule za Sekondari

Imewekwa: May 27th, 2021

Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete amekabidhi jumla ya meza na viti 390 kwa mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Abubakar Mussa Kunenge ili avikabidhi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chalinze Ndungu Ramadhani Possi ikiwa ni juhudi za ofisi ya Mbunge kupitia mfuko wa jimbo katika kukabiliana na tatizo la Upungufu wa madawati kwa Shule za msingi na Sekondari. Hayo yamefanyika leo katika viwanja vya Halimashauri ya Wilaya ya Chalinze mbele ya  Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Abubakar Mussa Kunenge alipotembelea Halmashauri hiyo na Kushuhudiwa na Viongozi mbalimbali wakiwemo Madiwani wataalamu, wananchi, waratibu elimu kata na walimu wakuu ambao shule zao zilipata mgao wa viti na meza hizo.

Akizungumza kabla ya kukabidhi viti na meza hizo Mh. Kikwete alisema “leo tunakabidhi viti na meza kwa wakuu wa shule baadhi ikiwa ni jitihada za kupunguza upungufu wa vitendea kazi hivyo katika mchakato wa utoaji wa elimu Halmashauri ya  Chalinze.  Wito wangu kwa walimu ni kuwa muende mkavitunze na vikasaidie katika kukuza taaluma katika Shule zetu kwani watoto watapata sehemu nzuri za kukaa wakati wanapokuwa wanapokea elimu.

Kwa kupitia fedha za mfuko wa jimbo Halmashauri imechonga jumla ya Viti na meza 390 a kuvigawa katika shule kumi na tatu ambazo ni shule ya Sekondari Kikaro, Kiwangwa,Changarikwa, Chamakweza, Pera, Chalinze, Moreto, Ubena, Talawanda, Vigwaza, Rupungwi Kimange, na Kibindu ambapo kila shule imepata jumla ya viti na  meza thelathini(30) Aliongeza Kusema Mh. Kikwete

Nae Mkuu wa Mkoa wa Pwani akizungumza na Hadhara iliokua imekusanyika hapo kwa lengo la kushuhudia makabidhiano hayo alimpongeza Mbunge Mh. Kikwete kwa juhudi anazozifanya na kuwataka Maafisa na walimu wakuu wanaosimamia taaluma kuongeza weredi ili kuisaidi Chalinze kupata matokeo mazuri zaidi katika mitihani ya Taifa na kuifanya iongoze kimkoa na ikiwezekana kitaifa.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Chalinze Ndugu Ramadhani Possi alimshukuru Mbunge wa Chalinze Mh. Kikwete kwa msaada huo na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh. Abubakar Mussa Kunenge kwa kukubali kukabidhi Viti na Meza hizo zenye jumla dhamani ya Tsh.30,000,000/= na kuahidi kuendelea kusimamia Taaluma ili kuweza kufikia ufaulu wa juu kwa shule mojamoja na Halmashauri kwa ujumla.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.