• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete ameahidi kumaliza kero za Maji na Afya kwa wakati Ubena

Imewekwa: July 24th, 2023

Naibu Waziri ofisi ya Raisi,Menejimenti ya utumishi wa Umma na utawala bora na Mbunge wa Jimbo la Chalinze  Mhe Ridhiwani Kikwete amefanya ziara katika kata ya Ubena Pamoja na vitongoji vyake kwa kuzungumza na wananchi wa Kata hiyo.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Mhe Ridhiwani Kikwete amewaondoa mashaka wananchi wa  kitongoji cha Ubena kwakueleza ya kuwa changamoto zilizopo za ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo zinaendelea kushughulikiwa kwa haraka ili wananchi hao waweze kupata huduma ya maji .

Pia vilevile Mhe Ridhiwani amezungumzia changamoto iliyopo katika zahanati ya ubena na kumuagiza mkurugenzi mtendaji kuhakikisha analetwa mtumishi ambae atatoa huduma kwa wanchi hao kama ambavyo wanavyotakiwa kupatiwa huduma hiyo kwa ubora na uhakika.

Sanjari na hayo Mhe Naibu Waziri ametembelea kitongoji cha Lulenge na kuzungumza na wanachi wa kitongoji hicho ambapo kero kubwa ya wananchi wa kitongoji hicho ni migogoro baina ya wakulima na wafugaji

Mhe Naibu Waziri ameagiza kwa viongozi wote wa Kijiji kuitisha mikutano ya Hadhara kwaajili ya kupanga na kukubaliana    kupanga  maeneo rasmi kwaajili ya wakulima na wafugaji ili kuondoa changamoto iliyopo ya muingiliano kati ya wakulima na wafugaji katika maeneo yao 

“Niwaombe ndugu zangu wanalulenge nyinyi Pamoja na viongozi wenu makae Pamoja ili kuweza kuzungumza changamoto mlizonazo na hii itasaidia kuondoa uhasama na uadui kati yenu kwa kupanga maeneo rasmi ya wakulima na wafugaji kwa kushirikisha na wazee wa kitongoji hichi”Amesema Mhe Ridhiwani Kikwete

Hata hivyo Naibu Waziri na Mbunge wa jimbo la chalinze aliongezea kwakuwaomba wananchi wa kijiji hicho likija swala la maeneo wenye umri kuanzia miaka 40 kushuka chini wasihusike kuzungumza lolote kwasababu wao hawafahamu lolote kuhusu historia bali wakushirikishwa na kuzungumza nao ni wazee wa zamani

Sambamba na hayo aliongezea,kiongozi yoyote hana mamlaka ya kusema watu Fulani hasa jamii ya kimasai kuhama kutokana na migogoro hiyo ya wafugaji na wakulima bali atakaa na kuleta amani pande zote mbili na kuwafanya waishi kwa amani na upendo bila kujali dini,kabila wala jinsia.  

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.