• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

RC Kunenge ataka hati safi ziendane na matumizi yenye tija kwa wananchi

Imewekwa: June 25th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mheshimiwa Abubakar Kenenge ametoa pongezi kwa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa kupata hati safi,pongezi hizo amezitoa katika Mkutano Maalum wa Baraza la Madiwani wa kujadili hoja za ukaguzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023.


Halmashauri ya wilaya ya Chalinze imekuwa ikipata hati safi mfululizo tangu ianzishwe rasmi mwezi Julai 2016 kwa kutumia mapato yake ya ndani kwa kuzingatia vipaumbele ambavyo hupangwa katika Mpango na Bajeti kwa kila mwaka.


“Unaweza kuwa na hati safi lakini Kusiwe na matumizi yenye tija “. Kunenge alisema.

Mkuu wa mkoa wa Pwani  katika hotuba yake ameziagiza Halmashauri zote mkoani Pwani kukusanya mapato na kuyatumia kwa mujibu wa Bajeti na kwa tija ili kuwakwamua wananchi katika changamoto mbalimbali zinazowakabili katika maeneo yao kama Afya,maji na Elimu, amewataka wasimamizi wa Halmashauri kuhakikisha kuwa matumizi yanakuwa na tija suala siyo hati safi.


Mkuu wa mkoa Katika mkutano huo maalum alitoa ufafanuzi kwa Menejimenti na Baraza la madiwani kuwa Halmashauri kuwa na hati safi siyo hoja isipokuwa je vipaumbele vimezingatiwa katika utekelezaji wa Bajeti husika?


Kunenge amezitaka Halmashauri zote katika mkoa wa Pwani kukusanya mapato na kuyatumia kwa tija kwa kuzingatia vipaumbele vilivyopangwa kwa mujibu wa bajeti.


Aidha Mkuu wa Mkoa alimalizia hotuba yake kwa kuwapongeza Madiwani na watendaji katika Halmashauri ya Chalinze kwa umoja wao katika kuwatumikia wananchi na kuwasisitiza kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kuwatumikia watanzania kwa kuwapatia huduma sitahiki za Kijamii.


Kwa upande Wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze,Mheshimiwa Hassani Mwinyikondo kwa niaba ya Baraza la Madiwani alipokea maelekezo ya mkuu wa Mkoa kwa kuahidi kubuni vyanzo vipya vya mapato na kutumia mapato hayo kwa tija na kwa mujibu wa Bajeti ya Halmashauri.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.