• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

TARURA Yawasilisha Bajeti ya Matengenezo ya Barabara Chalinze

Imewekwa: December 19th, 2022


Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini wa Wilaya ya Bagamoyo,Mhandisi Ndyamukama amewasilisha Mpango na Bajeti wa Matengenezo ya Barabara kwa Mwaka wa fedha 2023/2024 kwa Halmashauri ya Chalinze. Amewaasilsha bajeti hiyo leo katika kikao maalum cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete.


Akiwasilisha Bajeti hiyo Meneja wa TARURA aliwasilisha malengo makuu kuwa ni Kuhakikisha maeneo hasa yenye huduma za kijamii na Uzalishaji yanafikika,Kuhakikisha Kata zote zinaunganishwa,Kuhakikisha Halmashauri ya Chalinze inaunganishwa na wilaya jirani na kuhakikisha takataka na magugu kwenye mifereji hasa barabara za Mitaa vinaondolewa.


Mhandisi Ndyamukama aliendelea kufafanua kuwa mpango huo wa Bajeti utatekelezwa kupitia Fedha za Mfuko wa Barabara Jumla ya fedha za kitanzania Milioni 695 ambazo zitafanya matengenezo ya barabara kilomita 82.1,Fedha za Tozo Jumla ya fedha za kitanzania Bilioni 1 ambazo zitafanya matengenezo ya barabara Kilomita 82,Fedha za Mfuko wa Jimbo jumla ya fedha za kitanzania Milioni 500 ambazo zitafanya matengenezo ya barabara kilomita 18 na Mpango wa Matengenezo wa Fedha za Maendeleo jumla ya fedha za kitanzania Bilioni 7.3 ambazo zitatumika katika matengenezo ya barabara kwa kilomita 97.7 katika viwango mbalimbali kwa maana ya changarawe na lami.


Aidha Mpango na Bajeti ulipokelewa na Baraza la Madiwani na kupongezwa kwa Mpango bora uliogusa maeneo yote korofi na kuhakikisha kuwa maeneo yote yanaunganishwa na mtandao wa barabara.


Mwenyekiti wa Halmashauri Mheshimiwa Hassani Mwinyikondo kwa niaba ya Madiwani aliipongeza TARURA kwa kufanya shughuli zake katika hali ya uwazi na akazitaka Taasisi zingine kuiga utamaduni mzuri unaofanywa na TARURA kwa kuweka bayana shughuli zinazofanyika kwa maslahi ya watanzania.


Naye Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Bagamoyo Mheshimiwa Zahor Sharrif aliipongeza TARURA kwa Mpango mzuri wa Bajeti kwa mwaka 2023/2024 na kuipongeza Halmashauri kwa shughuli mbalimbali za Maendeleo zinazofanywa na Halmashauri ya hiyo na kukitaka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kuendelea kuyatangaza mafanikio ya Halmashauri kupitia Mitandao ya Kijamii na vyombo mbalimbali vya habari na kupitia Redio ya Halmashauri ya Chalinze.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mafunzo kwa wasimamizi wasaidizi ngazi ya kata yafunguliwa Rasmi

    August 04, 2025
  • Maandalizi ya Maonyesho ya Nanenane kanda ya Mashariki yapamba moto

    July 29, 2025
  • Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kujenga kituo cha mafuta kwa mapato ya ndani

    July 16, 2025
  • Mkurugenzi Mtendaji Chalinze Atembelea maonyesho ya 49 ya Saba saba

    July 14, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.