• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Ardhi na Maliasili

Idara ya Mipangomiji na Ardhi hushughulikia masuala mbalimbali kuhusu uendelezaji wa Makazi, Ardhi na Maliasili. Idara hii inatekeleza na kusimamia Program mbalimbali zinazohusiana na maendeleo ya makazi ikiwemo Program ya kuboresha miundombiu ya jamii katika maeneo yasiyopangwa (DMDP), Program ya Mtandao wa Miji Tanzania (TACINE).

 Muundo wa Idara

Idara ya Mipangomiji na Ardhi ni mojawapo kati ya Idara 19 za Halmashauri ya Manispaa ya Ilala zinazofanya kazi chini ya Mkurugenzi wa Manispaa. Idara imegawanyika katika sehemu nne zinazojumuisha Miliki na Maendeleo ya ardhi, Mipango ya Makazi, Uthamini, Upimaji na Ramani

  Majukumu ya Idara

Kuandaa na kusimamia utekelezaji mipango ya uendelezaji wa ardhi katika Manispaa kwa kuzingatia Mpango Kabambe, Sheria ya Mipangomiji Sura Na. 8 ya mwaka 2007, sheria ya Ardhi na 4 ya mwaka 1999 na kanuzi zake pamoja na mingozo mingine inayotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Ø  Upimaji wa viwanja vya matumizi mbalimbali

Ø  Uthamini wa majengo na mazao kwa ajili ya fidia, kodi ya majengo, mauzo, rehani na huduma nyinginezo.

Ø  Kuchunguza ramani za ujenzi zinazowasilishwa kwa ajili ya maombi ya vibali vya ujenzi.

Ø  Kuchunguza na kupitisha fomu za maombi ya leseni za biashara mbalimbali.

Ø  Kusimamia utunzaji, kuhifadhi, kuimarisha na kuendeleza rasilimali ya maliasili.

Ø  Kuandaa miliki za viwanja mbalimbali

Ø  Kusimamia utekelezaji wa program zifuatazo:-

i. Mradi wa kuboresha miundo mbinu kwenye maeneo yasipangwa (DMDP)

ii.  Usimamiaji na utunzaji wa takwimu za kijiografia (GIS)

iii. Kutambua na kutoa haki miliki katika maeneo yasiyopimwa (Leseni za Makazi)

iv. Kuratibu Program ya Mtandao wa Miji Tanzania (TACINE) 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Madiwani wa Chalinze wafurahia uchakataji wa maziwa kiwanda cha ASAS

    May 27, 2025
  • Madiwani Chalinze Safarini Iringa kwa ziara ya Mafunzo

    May 26, 2025
  • Rais Samia Suluhu Hassan amkaribisha Rais wa Namibia Ikulu Jijini Dar es salaam

    May 20, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi akagua vituo vya uboreshaji wa daftari la kudumu

    May 20, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.