• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Halmashauri ya wilaya ya Chalinze yaadhimisha Juma la Kisomo

Imewekwa: October 17th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze yaadhimisha juma la Kisomo.

Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze hii leo tarehe 17 /10/2022 imeadhimisha juma la kisomo katika viwanja vya shule ya msingi Lugoba kwa lengo la kuhamasisha jamii kushiriki katika shughuli za watu wazima pamoja na elimu nje ya mfumo rasmi ambapo huazimisha wiki la kwanza kwa kila mwezi septemba.

Akizungumza wakati wa maadhimisho hayo mgeni rasmi wa hafla hiyo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe.Hassan Rajab Mwinyikondo amewapongeza Maafisa elimu kwa maandalizi mazuri ya maadhimisho haya pamoja na kuwaomba maafisa maendeleo ya jamii kuwasaidia wale wote watakaopata elimu ya watu wazima kuunda vikundi ili iwe rahisi kusaidiwa kupata mikopo ya kujiendeleza kiuchumi.

“Nawaomba maafisa wenye dhamana tujitahidi kuwapa mbinu na elimu za kuwatengenezea vikundi wale wote watakaopata elimu ya watu wazima ili Halmashauri iweze kuwapa mikopo kwa vikundi vyao ili iwe kama motisha na kuchochea kupunguza wimbi la watu wasiojua kusoma na kuandika pamoja kutoa ajira kwa wote watakaohitimu elimu hiii ya watu wazima”. Amesema Mhe.Mwinyikondo.

Mhe. Mwinyikondo ameendelea kwa kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu na kuanzisha mpango wa elimu wa kuwapa fursa wale wote waliokatiza masomo yao kurudia masomo na kuahidi kama Halmashauri ya Chalinze itaendelea kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais na Mbunge wa Jimbo la Chalinze katika kuendeleza elimu hii ya watu wazima kwa kutenga bajeti kwaajili ya kuvisaidia vituo vinavyotoa huduma hiyo.

Aidha akisoma taarifa ya elimu ya watu wazima na elimu isiyo rasmi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Afisa elimu wa Elimu ya Watu wazima Ndg.Selemani Nkunguu amesema kuwa mpaka sasa kuna idadi ya watu 75 ambapo wanaume ni 25 na wanawake 50 na kisomo cha kujiendeleza kwa watumishi ambapo kuna jumla ya walimu 62 wanaosoma kutoka ngazi ya cheti,stashahada na shahada na kuhamasisha vikundi vya Mkeja yaani vikundi vya watu wazima vinavyofanya shuguli za mikono vyenye jumla ya wanakikundi 158 pamoja na kuhamasisha shughuli za ufundi stadi ambapo ina jumla ya wanakikundi 36.

Pamoja na hayo ametoa mafanikio yaliyopatikana na uwepo wa elimu hiyo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze ikiwa ni pamoja na watoto wengi waliokosa elimu kupata elimu,wanafunzi wa MEMKWA kuweza kuendelea na elimu ya sekondari ambapo zaidi ya vijana 109 ikiwa wasichana 49 na wavulana 60 wameweza kuendelea na elimu ya sekondari pamoja na kuhamasisha watu wazima kujiunga na elimu ya watu wazima hasa jamii ya kimasai.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.