• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Halmashauri za Chalinze na Bagamoyo zaanza maandalizi ya Mwenge wa Uhuru

Imewekwa: February 21st, 2020

Kamati ya Sherehe wilaya ya Bagamoyo,imeanza maandalizi ya mapokezi ya mbio za mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2020.


Kamati hiyo imeanza kikao chake cha kwanza leo katika ukumbi was halmashauri ya Bagamoyo chini ya Uongozi wa Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mheshimiwa Zainabu Rashidi Kawawa.


Kamati hiyo imejumuisha wajumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama,wakuu wa Idara kutoka halmashauri zilizo ndani ya wilaya ya Bagamoyo yaani Bagamoyo na Chalinze na wadau wa maendeleo wilayani Bagamoyo.


Katika kikao hicho,mwenyekiti aliwashukuru wajumbe wa kamati hiyo kwa kufanikisha mapokezi ya mbio za mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2019 yaliyofana kwa kiasi kikubwa na kuwataka kuzifanyia kazi changamoto zilizojitokeza mwaka jana. Kawawa aliwashukuru wananchi wa halmashauri zote mbili kwa namna walivyojitokeza kwa wingi katika mapokezi ya mwenge wa Uhuru na kuwashukuru wadau wote waliofanikisha kwa kutoa michango mbalimbali ya hali na mali na kuwashukuru watumishi wote wilayani Bagamoyo kwa uzalendo wa hali ya juu waliouonyesha mwaka jana.


Aidha Mkuu wa wilaya amewataka wakuu wa Idara wote wilayani Bagamoyo kuchambua miradi itakayopitiwa na mwenge wa Uhuru kwa mwaka huu wa 2020 inazingatia mwongozo na vigezo vya mashindano ya mbio za mwenge wa Uhuru na iwe na ubora unaotakiwa na kuwataka waratibu wa mwenge wa halmashauri ya Chalinze na Bagamoyo kuisoma miongozo kwa umakini na kushauri pasipo hofu,ili halmashauri zetu ziweze kupata ushindi stahiki usiokuwa na mashaka.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Bagamoyo Mheshimiwa Zahoro amewataka wanabagamo kwa ujumla kuupokea mwenge wa Uhuru kwa heshima zote na wananchi kwa wingi katika mapokezi hayo na kuwataka vikundi vya hamasa kuanza maandalizi mara moja kwani muda umekwisha.


Naye Katibu Tawala wa wilaya ya Bagamoyo Bi Kasilida Mgeni amewataka wananchi hususan watumishi kuzingatia vigezo vya mashindano ya Mwenge na kuzingatia Itifaki ya Mwenge wa Uhuru wakati mwenge ukikimbizwa na kuitaka kamati ya usafirishaji kusimamia suala zima la magari yanayokuwa katika msafara kwa mujibu wa mwongozo.


Hata hivyo Mwenge wa Uhuru unategemea kuingia mkoani Pwani tarehe 18/04/2020 hadi tarehe 26/04/2020 na kukimbizwa katika halmashauri zote tisa za mkoa huo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.