• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Jamii yaaswa matumizi ya kiasi katika vyakula vyenye mafuta, sukari na chumvi

Imewekwa: June 3rd, 2025




Jamii imetakiwa kuzingatia matumizi ya kiasi katika ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari nyingi na chumvi kupita kiasi, ili kuepuka hatari ya kupata magonjwa sugu yasiyoambukiza.Wito huo umetolewa leo na Afisa Lishe wa Halmashauri ya Chalinze, Lucas Eliakim Molell, wakati akizungumza katika kipindi cha Gumzo Leo kinachorushwa na Chalinze FM kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 4:00 hadi 7:00 mchana.



Aidha Molell amesema ulaji wa chumvi nyingi huongeza hatari ya shinikizo la damu, ugonjwa wa moyo na kiharusi. Aidha, alibainisha kuwa matumizi ya sukari kupita kiasi yanachangia kuongezeka kwa uzito wa mwili, kuibuka kwa ugonjwa wa kisukari pamoja na matatizo ya moyo.



Pia afisa lishe aliongeza kuwa jamii inapaswa kuepuka unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi kama soda, juisi bandia, pamoja na ulaji wa vitafunwa kama keki na pipi. Badala yake, ameshauri watu kutumia matunda halisi na kunywa maji ya kutosha kama njia bora ya kujikinga na magonjwa hayo.



Vile vile, Molell amesisitiza umuhimu wa kuepuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, hasa yale yanayoganda, akieleza kuwa vyakula hivyo huweza kusababisha ongezeko la uzito, kuziba kwa mishipa ya damu, na hatimaye kusababisha magonjwa ya moyo. Ametoa ushauri kwa jamii kutumia mafuta yanayotokana na mimea ambayo ni salama zaidi kwa afya.



Shirika la Afya Duniani (WHO) limeweka miongozo madhubuti kuhusu ulaji wa vyakula vyenye chumvi nyingi, mafuta mengi, na sukari nyingi ili kupunguza hatari ya magonjwa yasiyoambukiza kama shinikizo la damu, kisukari, magonjwa ya moyo, na kiharusi

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC Ndemanga Aongoza Kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe

    June 10, 2025
  • Mkutano Mkuu wa Kijiji cha Tukamisasa waazimia Mwenyekiti Kupisha Uchunguzi

    June 10, 2025
  • Waziri Kikwete atua Geneva kushiriki Mkutano wa 113 wa Shirika la kazi Duniani

    June 04, 2025
  • Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI apongeza Utekelezaji wa Sekta ya Afya Chalinze

    June 03, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.