• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Afya,Elimu na Maji yakagua Miradi ya Maendeleo Chalinze

Imewekwa: January 30th, 2024


Kamati ya Afya,Elimu na Maji katika Halmashauri ya wilaya ya Chalinze ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Selestine Semiono imekagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika sekta ya Afya na Elimu.


Ukaguzi wa miradi hiyo umefanyika Leo hii katika kata za Msoga,Mandera na Mkange kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/2024. Kamati hiyo imeweza kufika katika Hospitali ya Halmashauri ya Msoga na kuona hatua za awali za Ujenzi wa Jengo la Utawala ambalo maandalizi ya kuchimba msingi wa jengo hilo ambalo litajengwa gorofa moja. Katika ukaguzi wa mradi huo wajumbe wa Kamati walitoa ushauri kwa Menejimenti ili kasi ya Ujenzi huo iongezeke ili mradi ukamilike kwa wakati na huduma ziweze kutolewa kwa wananchi.


Kwa upande wa sekta ya Elimu Kamati ilifika Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mandera katika kata ya Mandera,katika Shule hiyo Kamati iliweza kukagua Ujenzi wa Bweni la wasichana lililojengwa kutokana na fedha kutoka Serikali kuu,jumla ya fedha za kitanzania milioni 100 zimetumika katika utekelezaji wa mradi huo ingawa haujakamilika. Kwa mujibu wa Afisa Elimu Sekondari Bi. Salama Ndyetabura alisema ili liweze kukamilika na kuanza kutumika kunahitajika Jumla ya fedha za kitanzania milioni 58.


Katika Mradi huo wajumbe walifurahishwa na ubora wa mradi huo na kushauri pamoja na kusubiri fedha za ukamilishaji kutoka Serikali kuu ni vema mradi huo kuingia katika bajeti inayoandaliwa sasa kwa ukamilishaji. Sanjari na maoni ya kamati hiyo Kamati ilitoa pongezi kwa walimu na wanafunzi kwa matokeo mazuri ya kidato cha nne kwa mwaka 2023,kwani kiwango cha ufaulu katika shule hiyo kimeongezeka.


Aidha Kamati ya Afya, Elimu na Maji ilifika katika kijiji cha Mkange na kukagua mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkange ambayo imeanzishwa kwa nguvu za wananchi na wadau mbalimbali katika Kata ya Mkange.

Wana kamati wa Kamati ya Elimu wametoa Pongezi kwa wananchi wa Kata ya Mkange kwa kujitoa katika ujenzi huo ambao utaondoa changamoto ya watoto kwenda kusoma mbali . Wajumbe wamependekeza katika bajeti hii inayoandaliwa kutengwe fedha kwa ajili ya ukamilishaji Ujenzi wa shule hiyo ili kuondoa kero ya huduma ya Elimu kwa watoto wa kata ya Mkange.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.