• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Elimu Afya na Maji yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

Imewekwa: October 18th, 2022


Kamati ya elimu,afya na maji hii leo imefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya afya,elimu na maji inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali yaliypo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Ziara hiyo imeongozwa na Mwenyekiti wa kamati ambaye ni Diwani wa kata ya Msata Mhe.Selestine Chamu, wajumbe wa kamati hiyo pamoja na baadhi ya wataalamu imelenga kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo bweni wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi Chalinze-Pera,ujenzi wa shule ya Sekondari Msolwa-Makondomengi,Shule ya Sekondari Ubena Lunch pamoja na kutembelea na kukagua Hospitali ya Wilaya –Msoga.

Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa ziara hiyo Mwnyekiti wa kamati hiyo Mhe. Selestine Chamu amewapongeza wataalamu na Waheshimiwa madiwani kwa kufanya kazi kwa bidi na kuunga mkono juhudi za Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassani katika usimamizi wa miradi mpaka kupelekea uapatikanaji wa huduma muhimu za afya ikiwemo huduma za x-ray na upimaji wa Magonjwa ya Moyo katika Hospitali ya Msoga na kuwaasa wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma hiyo.

“Niwapongeze wataalamu pamoja na Madiwani kwa kufanya kazi kubwa na kwa bidi na kwa kumuunga mkono Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan hasa kwenye kuhakikisha ujenzi wa miundombinu ya huduma muhimu za elimu na afya na hasa kuhakikisha upatikanaji wa huduma za afya kama vile leo tumeona katika Hospitali yetu ya Wilaya tumeanza kutoa huduma za X-Ray ambapo hapo awali ilikuwa inapatikana katika Hospitala ya Rufaa ya Tumbi,hivyo basi wananchi wajitokeze kwa wingi kuweza kupata huduma hiyo ”. Amesema Mhe. Chamu.

Aidha Mhe.Chamu amwaasa wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kuendelea kusimamia vyema fedha za miradi inayoendelea kutolewa na Serikali ya awamu ya sita ya inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.