• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

KEDA Yakabidhi Madarasa Mawili na Ofisi Pingo

Imewekwa: March 10th, 2022

Mkurugenzi wa Kiwanda cha kutengeneza Vigae cha KEDA kilichopo katika kitongoji cha Pingo ndani ya Mamlaka ya Mji Mdogo wa Chalinze,Bwana Bruce Ni jana amekabidhi vyumba viwili vya madarasa na Ofisi , vilivyojengwa na kukamilika katika shule ya Msingi Pingo ili kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia.


Vyumba hivyo vya Madarasa  na Ofisi ya walimu vimejengwa kwa ushirikiano wa nguvu za wananchi, Mfuko wa Jimbo na Kiwanda cha KEDA,hivyo kugharimu kiasi cha fedha za kitanzania Milioni Hamsini na Mbili(52).


Katika hotuba yake ya kukabidhi madarasa hayo Mkurugenzi wa KEDA aliahidi kuendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia ili kuweza kuinua kiwango cha ufaulu cha wanafunzi katika Halmashauri ya Chalinze.


Kwa upande wake Mgeni rasmi katika hafla hiyo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze Bwana Archanus Kilaja kawa niaba ya Halmashauri amewashukuru wadau wote walioshiriki katika ujenzi wa madarasa hayo kwa maana ya wananchi,Ofisi ya Mbunge na Kiwanda cha KEDA kwa kufanya majukumu ambayo ni wajibu wa serikali katika kuboresha miundombinu ya Elimu na kuzidi kuwaomba waendelee na moyo wa kuboresha mazingira kama wawekezaji na wadau wa maendeleo katika halmashauri ya Chalinze.

“Asanteni sana kwa kutekeleza majumu ambayo ni wajibu wa serikali, endeleeni na moyo huo katika kuboresha miundombinu katika sekta zingine pia za maendeleo.” Kilaja alisema.


Mgeni rasmi baada ya hotuba yake na kukubali kupokea mradi huo kwa niaba ya Halmashauri alikabidhi  Cheti(Certificate of appreciation) cha kutambua Mchango wa KEDA katika ujenzi wa madarasa hayo ndipo akapokea madarasa hayo.


Kwa upande wake Diwani wa kata ya Pera Mheshimiwa Jackson Mkango kwa niaba ya wananchi wa Pingo na Pera kwa ujumla aliungana na mgeni rasmi kuwashukuru wadau wote walioshiriki katika ujenzi wa madarasa hayo na kuwataka waendelee kuwa na moyo wa uzalendo katika kuboresha huduma za jamii. “Napenda kuwashukuru wananchi wangu wa Pingo kwa kuanzisha ujenzi wa madarasa haya pia Ofisi ya Mbunge kwa kuchangia katika ujenzi huo na baadaye KEDA wamekamilisha ujenzi, endeleeni kuwa na moyo huo nyie kama jirani zetu.” Mkango alisema.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.